Hivi kuoa Kuna faida Gani?

Hivi kuoa Kuna faida Gani?

Soma vizuri na uelewe.Mke hatoi/hachangii vitu kwa usawa na mwanaume.Habebeshwi majukumu ya ki-baba.
Hakuna aliyekataa hilo ila ni mchapa kazi na anachokipata anatumia na familia yake

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. 17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu. 18Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
Methali 31:16-18

Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza, huwauzia wafanyabiashara mishipi
Methali 31:24

27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu. 28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema
Methali 31:27, 28
 
Bado haijaondoa sifa za mwanamke wala kumfanya alingane na mwanaume.
 
Back
Top Bottom