Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Hamna kabila eti ndiyo lina mademu wakali kuliko kabila lingine!Uzuri wa demu ni mambo ya DNA na hiyo haitegemei na kabila
 
Ni magarasa tu hao, hawafai kabisa.
mkuu,you are searching for right gals,at wrong place,come and meet in iramba,i will take at right places where you gonna meet,seduce and even find right gals for marriage!njoo nikupe wanawake wa kuoa!
 
Hamna kabila eti ndiyo lina mademu wakali kuliko kabila lingine!Uzuri wa demu ni mambo ya DNA na hiyo haitegemei na kabila
sawa,ila genetic pool yao ikoje?hv unajua genetic pool pool ya wanyiramba wewe?
 
Wekeni mapicha bhasii hii kitu ikae poa.,
Watu wanabishaana sana lakini hakuna taswira ya hao wanaosifiwa, wekeni picha ili tuvute hisia na kupata taswira ya ulimbwende. Ila ni vyema tukawa na angalizo, tafsiri ya uzuri inategemeana na taswira ya mtoa maamuzi.
 
ahahaha,unawajua wanyiramba sema tu unazuga
 
Picha hiyo
 
Attachments

  • 1460009077719.jpg
    1460009077719.jpg
    20.9 KB · Views: 178
Back
Top Bottom