Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Tatizo wengi wao wameketwa so utam wote ushatolewa wanafaa kupiga nao picha tu.

Duc in Altum
huwa ni prruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, tiiiiiiiiiiiii. Break yake sasa.
 
Kwa wale wanaume watafutaji ambao washapitapita Singida mjini, Ikungi, Iramba, hadi mkalama najua watanielewa.

Wana rangi fulani hivi nyeupe kama ya pela bivu,miguu ya tango,wabishi,easy to go, gold diggers na majemedari.

Usiombe ukanasa mikononi mwao,wana macho fulani ya gold yenye uangavu.Ukiwaona utadhani Wanyaturu au Wanyarwanda.

Wana uwezo wa kujitegemea pasipo uwepo wa wanaume na wako tayari "kumneutralise" yoyeto iwe kwa uganga au mitishamba hili wapate mkwanja au mwanaume.

Karibuni Singida mjini na Iramba muwaone umbo kamili la mwanamke.

Msalimieni Wema Sepetu enyi watu wa Dar.

Tiririka kwa ushahidi wa picha basi ili tushawishike kukuamini....pengine wewe ni "machokumchuzi"!
 
asante mleta mada nimekutana na michangi ya watu wengine wakisifia wangine wakiponda, ila kama vile mengi yalioongelewa hapa ni sifa mbaya. ila siogopi siku si nyingi naoa myiramba wa ikungi japo mi mchaga ila naamini tutaendana.
Wa ikungi atakuwa Mnyaturu huyu, Ni weupe na wanamiguu midogo kama fimbo. Wanyiramba wapo wilaya ya Iramba, ni mchanganyiko(weupe na weusi) figure zao zinakaribiana na namba 8. Wanawake wote wa Singida ni wazuri, tatizo lao kubwa wanapenda kuwamiliki wanaume, walishaji wa SHUNTAMA, na wababe. Hawapendi kuwambiwa watulie nyumbani, na wanapenda kwenda na wakati pia. Hautoa papuchi zao mara moja (hasa kwa wageni wa mkoa wa Singida) kwa sababu hawapengi kilema chao cha kukuketwa kikaonekana mara kwa mara.
 
Fanya kautafiti kidogo (practical and participative research) kuhusu tabia pia kabla hujasifia sana na kukaribisha wateja.
 
Kwa wale wanaume watafutaji ambao washapitapita Singida mjini, Ikungi, Iramba, hadi mkalama najua watanielewa.

Wana rangi fulani hivi nyeupe kama ya pela bivu,miguu ya tango,wabishi,easy to go, gold diggers na majemedari.

Usiombe ukanasa mikononi mwao,wana macho fulani ya gold yenye uangavu.Ukiwaona utadhani Wanyaturu au Wanyarwanda.

Wana uwezo wa kujitegemea pasipo uwepo wa wanaume na wako tayari "kumneutralise" yoyeto iwe kwa uganga au mitishamba hili wapate mkwanja au mwanaume.

Karibuni Singida mjini na Iramba muwaone umbo kamili la mwanamke.

Msalimieni Wema Sepetu enyi watu wa Dar.
Singida ndio mkoa pekee Tanzania ambao wale wenzetu wa kabila Fulani hivi walikuwa wanatabia ya kutoroka huko kwao na kuweka kambi ya kujiuza mfano Moshi wako Mafuta Street: lakini Singida wanyiramba waliwaaambia msithubutu kuja hapa tupo wenyewe tunajitosheleza na kweli hawakuweka kambi singida (iwe bojo kaziroooo)
 
Wa ikungi atakuwa Mnyaturu huyu, Ni weupe na wanamiguu midogo kama fimbo. Wanyiramba wapo wilaya ya Iramba, ni mchanganyiko(weupe na weusi) figure zao zinakaribiana na namba 8. Wanawake wote wa Singida ni wazuri, tatizo lao kubwa wanapenda kuwamiliki wanaume, walishaji wa SHUNTAMA, na wababe. Hawapendi kuwambiwa watulie nyumbani, na wanapenda kwenda na wakati pia. Hautoa papuchi zao mara moja (hasa kwa wageni wa mkoa wa Singida) kwa sababu hawapengi kilema chao cha kukuketwa kikaonekana mara kwa mara.
ahahaha,mkuu umegusa mulemule!hakuna wanawake makaidi kama wanyiramba,hawajuhi kuomba kwa upole,wanapenda kupayuka na wana nyodo
 
Singida ndio mkoa pekee Tanzania ambao wale wenzetu wa kabila Fulani hivi walikuwa wanatabia ya kutoroka huko kwao na kuweka kambi ya kujiuza mfano Moshi wako Mafuta Street: lakini Singida wanyiramba waliwaaambia msithubutu kuja hapa tupo wenyewe tunajitosheleza na kweli hawakuweka kambi singida (iwe bojo kaziroooo)
sisi wenyewe wauzaji,sasa hao wahaya wa nini kwetu?
 
Back
Top Bottom