JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,782
- 2,843
Nikweli kabisa mkuu. Nilikuwa sijui K iliyo kktw kabla ya kukutana na mrangiNinae mmoja mie kaah ameniganda huyo mpaka familia anasahau harafu wengi mashavu yametolewa
Nikweli kabisa mkuu. Nilikuwa sijui K iliyo kktw kabla ya kukutana na mrangiNinae mmoja mie kaah ameniganda huyo mpaka familia anasahau harafu wengi mashavu yametolewa
Hao ni wapare aliowataja mana miguu na viwiko vya mkono ni sawa na weupe wanaomkuu,wanyiramba wa aina hio hawapo,ahahaha
wema ni mnyaturu wale waliokeketwa ndiyo maana hakojoi mkuu yule ni kicheche Acha kabisa maana anatafuta kukojoleshwa hakojoiwema mnyaturu
Mbona Iramba hakuna disaini kama huyo mdada, kila unaemuona kasimamia spoku za baiskelimkuu,wanyiramba wa aina hio hawapo,ahahaha
any reddy and beautiful rose has got its thorns!kuponda still hakuivunji hoja ya uzuri,wanyiramba sio 100% wazuri kitabia,ila ni 90% wazuri kiumbo,mwenekano na ujasiri,kwa io hao wadau kuponda hapo juu ndio kigezo cha kuondoa uzi?ahahaha,hao wote wanaoponda washa experience dhahabu za iramba,wana mezea mazuri na kupayuka mabaya...WANAWAKE WA KINYIRAMBA NI ALAMA YA UREMBO,MVUTO NA UJASIRI!Uzuri upo machoni mwa mtazamaji, macho ya watazamaji yameshindwa kutazama na kuona kama unavyoona hivyo kupelekea ama kuwachoresha dada zako au kujitambulisha kuwa huna macho mazuri kukuwezesha kuona vizuri.
Sifurahii dada zako wanavyopata kichambo kutoka halaiki.
Nipo easy kuliko unavyodhani.
ni kawaida,hata kuna maeneo uku iramba bado yanafanya uo ushenzi!ila taratibu wataacha,kwani tunatoa elimu ya mara kwa maraNikweli kabisa mkuu. Nilikuwa sijui K iliyo kktw kabla ya kukutana na mrangi
mkuu,nadhani ni kwa sababu ya kukaa milimani,nadhani itakuwa ni acquired trait,na sio biological oneHao ni wapare aliowataja mana miguu na viwiko vya mkono ni sawa na weupe wanao
ahahaha,wewe umetembelea kata zipi kati ya kata 20+ za iramba?Mbona Iramba hakuna disaini kama huyo mdada, kila unaemuona kasimamia spoku za baiskeli
mkuu,ebu mwaga ubuyu zaidi,usha muonja nini?wema ni mnyaturu wale waliokeketwa ndiyo maana hakojoi mkuu yule ni kicheche Acha kabisa maana anatafuta kukojoleshwa hakojoi
Ile sehemu nimetembelea karibu yooote ila nakumbuka maeneo kama Kiomboi, Iguguno, Kisisiri, Ndaga, Shelui, nk. Sasa labda kuna vitongoji maalum ambavyo hakuna hayo maumbileahahaha,wewe umetembelea kata zipi kati ya kata 20+ za iramba?
wewe utakuwa umewaona wamang'ati,wataturu na wanyisanzu kisha ukashindwa kutofautishaIle sehemu nimetembelea karibu yooote ila nakumbuka maeneo kama Kiomboi, Iguguno, Kisisiri, Ndaga, Shelui, nk. Sasa labda kuna vitongoji maalum ambavyo hakuna hayo maumbile
Mkuu hayo maeneo nifanyakazi saaana na hata kuwatofautisha mbona rahisi sanawewe utakuwa umewaona wamang'ati,wataturu na wanyisanzu kisha ukashindwa kutofautisha
nisiwe mbishi,yawezekana ulio waona ni mchanganyiko ni wataturu,maana nao wanafunguka,badala ya kuficha ndani ya mlima sekekenkeMkuu hayo maeneo nifanyakazi saaana na hata kuwatofautisha mbona rahisi sana
Tuma kaphoto mkuuKwa wale wanaume watafutaji ambao washapitapita Singida mjini, Ikungi, Iramba, hadi mkalama najua watanielewa.
Wana rangi fulani hivi nyeupe kama ya pela bivu,miguu ya tango,wabishi,easy to go, gold diggers na majemedari.
Usiombe ukanasa mikononi mwao,wana macho fulani ya gold yenye uangavu.Ukiwaona utadhani Wanyaturu au Wanyarwanda.
Wana uwezo wa kujitegemea pasipo uwepo wa wanaume na wako tayari "kumneutralise" yoyeto iwe kwa uganga au mitishamba hili wapate mkwanja au mwanaume.
Karibuni Singida mjini na Iramba muwaone umbo kamili la mwanamke.
Msalimieni Wema Sepetu enyi watu wa Dar.
Wapo bhn #barafuyamoyoHamna.
Alaaa kumbe!! Ngj nbak na huyuhuyuahahaha,watani zetu hao!wapole,wakimya usoni ila uko chini,utakimbia mwenyewe"
ugumu wa maisha,uduni wa elimu,pia mfumo wetu wa matrillineal unawapa wanawake mandate ya kuhodhi watoto,unawafanya watoto kuwa mali ya mwanamke kwa 100%,sasa malezi ya mama zetu mara nyingi yanawejengea deko,dharau na kiburi!sasa ongezea na uzuri ndio maana unawaona hivyo!halafu wanawake wa kinyiramba ndio "waliooa" na ndio "wanao waoa" wanaume!zamani zile mwanaume alikuwa akitoka kwao na kumfata mwanamke kwao!ila siku za hivi karibuni,imebadilika kidogo,mwanamke anamfata mumewe kwao ila kimila na kiutamaduni watoto ni wa mumewe "kwenye makaratasi na damu" ila ni wa mwanamke na kaka za mwanamke!zamani zile ukitaka kuoa mtoto wa kiume ilibidi umwone kaka wa mama yake ndio akuoze,ila baba yako anakuwepo kama pambo!wanawake wakinyiramba wanajiachia kwani baba zao au ndugu wa baba hawana mamlaka nao!Kuna Mkuu aliuliza kabila gani mademu wagumu mi naona WAMASAI NA WAJARUO kidogo wagumu. Ila hapo singida kama unataka kupunguza weight kwa presha na msongo wa mawazo nenda maana wanahuruma sana ukiomba unapewa.
isha wekwa umu,fukua fukua kurasa za nyuma utaionaTuma kaphoto mkuu
itakuwa jambo la mbolea sanaAlaaa kumbe!! Ngj nbak na huyuhuyu