Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,642
Kwa wale wanaume watafutaji ambao washapitapita Singida mjini, Ikungi, Iramba, hadi Mkalama najua watanielewa.

Wana rangi fulani hivi nyeupe kama ya pera bivu, miguu ya tango, wabishi,easy to go, gold diggers na majemedari.

Usiombe ukanasa mikononi mwao, wana macho fulani ya gold yenye uangavu. Ukiwaona utadhani Wanyaturu au Wanyarwanda.

Wana uwezo wa kujitegemea pasipo uwepo wa wanaume na wako tayari "kumneutralise" yoyeto iwe kwa uganga au mitishamba hili wapate mkwanja au mwanaume.

Karibuni Singida mjini na Iramba muwaone umbo kamili la mwanamke.

Msalimieni Wema Sepetu enyi watu wa Dar.
 
ila si umeona walivyo exotic na gorgeous?

hao wakari pia,except wana miguu isiyo na ushirikiano na nyonga!
Ukali tu, wanatisha, alafu sio maandunje!
Wachaga wengi wana sura na mtindi, ila miguu, kiuno na kalio hamna kitu kabisa! Wengi wako hivi ila kuna wachache wao ni top class, kila kitu! Sijui hawa wanatoka wilaya gani, kuna jirani yangu hapa mchaga, ana watoto wanne, wawili wanawake miaka 21 na 19, wa 21 ana sura ya hatari na mtindi huo ila kwingine hamna kitu!
Ila wa 19 ni kabarikiwa kila kitu!
 
Back
Top Bottom