Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Hivi kuna wanawake wakali na warembo kama Wakinyiramba?

Kwa wale wanaume watafutaji ambao washapitapita Singida mjini, Ikungi, Iramba, hadi mkalama najua watanielewa.

Wana rangi fulani hivi nyeupe kama ya pela bivu,miguu ya tango,wabishi,easy to go, gold diggers na majemedari.

Usiombe ukanasa mikononi mwao,wana macho fulani ya gold yenye uangavu.Ukiwaona utadhani Wanyaturu au Wanyarwanda.

Wana uwezo wa kujitegemea pasipo uwepo wa wanaume na wako tayari "kumneutralise" yoyeto iwe kwa uganga au mitishamba hili wapate mkwanja au mwanaume.

Karibuni Singida mjini na Iramba muwaone umbo kamili la mwanamke.

Msalimieni Wema Sepetu enyi watu wa Dar.
tembea uone ndg yangu , wako weeengi tu , tatizo lako ni kutembea. umeisha waona wanawake wa kimburu.......?na jambo lingine unatakiwa kulifahamui uzuri wa mwanamke ni tabia sio sura, na kama sura basi awe amikamilika maeneo yoote kuanzia sura kiuno, tumbo, miguu, nywele, sio nywele za bandia, matako ya bandia, tumbo kama ana mimba, nyusi za kubandika , miguu kama spoku ya baiskeli , bila kuvaa wigi hatoki nje huyo naye ni mzuriii.......?
 
Mkuu,Mie nimewaandika Wanyiramba,Wewe Waweza Kuwaandika Wamburu
 
ahahaha,mkuu umegusa mulemule!hakuna wanawake makaidi kama wanyiramba,hawajuhi kuomba kwa upole,wanapenda kupayuka na wana nyodo
Tatizo ni washamba na huwa wanajiona wazuri, sasa wakiingia sokoni ndo huwa wanachanganyikiwa. Kuna wenzao wazuri zaidi yao halafu wanajua kupenda kidogo. na hawana uchoyo na si makaidi kama wao.
 
Tatizo ni washamba na huwa wanajiona wazuri, sasa wakiingia sokoni ndo huwa wanachanganyikiwa. Kuna wenzao wazuri zaidi yao halafu wanajua kupenda kidogo. na hawana uchoyo na si makaidi kama wao.
washamba?wanyiramba?
 
Wacheni kuharibu kabila yetu bwana mbona mademu karibia wote cku hz wanatoa papuchi ovyo tuu???
Mtuache wanyiramba ce
 
Hao tutapiga tu na kupita ila wa kuoa Moshi.... big up Chagga babiez acha kabisa
 
Maskini umezungukia huko tu jaribu kufanya utalii wa ndani ya Tanzania utaelewa wanawake wazuri wako wapi....
 
Back
Top Bottom