Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Nimetoka Mbeya na Sauli juzi🥴🥴🥴🥴
Kuna mwamba kwenye thread nyingine kabisa nimeona anakwambia katoka marekani sijui nenda akakuoe 😂😂😂😂
 
Dada acha kutaka mawazo yako ndio yaonekane legit.

Mimi Nina ndugu yangu Ni anko wangu yuko Canada. Dar ana viwanja si chini Ya 10. Na vitano viko kwenye very prime area. Ana hotel moja iko njia ya Morogoro road.

Kiwanja Cha mwisho aliniingizia hela mimi kwenye account yangu ili anunue eneo liko sinza. Sasa imagine mtu ananunua eneo sinza.

So acha kuwa naive and stop that generativity mentality.

Nina mengi ya kuandika kuhusu ndugu zangu wengine watatu walioko huko na kufuru walizofanya bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenunua kiwanja sinza lini?
 
Hii mada tulishawahi kuiongelea hapa. Wengi Wabongo wenye bahati wanaoenda ughaibuni ni maboya. Wakifika kule wanaiga life style ya wenyeji,anasahau huku nyumbani anatakiwa afanye kitu.

Mfumo wa maisha ya ulaya ni rahisi sana kutoboa ili mradi tu ujitambue. Miaka 7 kukaa Ulaya kama unajitambua unarudi na hela ambayo kwa hapa bongo angeihangaikia maisha yake yote,asipate hata robo yake. Uwe tu na nidhamu ya pesa.Kule kuna kazi nyingi ambazo wenyeji hawataki kuzifanya wanaziona za kirock,kama udereva wa magari makubwa,kupanga mabox kwenye mashopaz,kurudishia bidhaa kwenye mashelvu. Na mshahara wake ni mnono,kiasi unaweza ukamzidi hata boss wa TRA kibongobongo. Kikubwa panga matumizi yako vizuri. Achana na starehe,starehe waachie wenyeji. Sasa unakutana na mbongo kama huyo wa kwanza anaiga life Style ya wenyeji,nae anakuwa hataki hizo kazi. Pili ni machinoo. Pombe kuanzia asubuhi,maisha ya kizungu sana. Huwezi kutoboa.

Kenya uwekezaji mkubwa mkubwa ule unaouona ni vijana wanaoishi ulaya. Ona vijana wa Nigeria pia,wametapakaa ulaya. Ona uwekezaji wao kwenye nchi zao.

Pia unawaona wasomali wanaamua liwalo na liwe wanasafirishwa kama mizigo ili mradi afike South Africa. Akifika South Africa kule ni njia tu ya kuunga ulaya. Na wakifika ulaya haichukui round anakuwa mfadhiri wa ndugu na jamaa zake huko kwao. Unafikiri pesa anaitoa wapi,kama sio kufanya kazi?. Wapo wanaoishia hapo south. Ujue yule uliemsafirisha leo kwa loli,na yule utakaeenda kumkuta South Africa miaka miwili ni tofauti sana. Miaka hiyo miwili atakuwa amepiga sana hatua kimaendeleo. Wanajituma sana wakifika huko tofauti na wabongo wanaoenda huko wengi wanapenda starehe. Mwisho wa siku wanaangukia kwennye sembe. Mpaka sasa vijana wa kibongo waishio south,wengi ni wezi na wauzaji na kutumia sembe ksbb ya kupenda starehe bila kufanya kazi.

Ipo mifano ya watu ninaowafahamu wanaopiga kazi ulaya. Wengine wameingia kule kwa gear ya kusoma,lakini wanapiga na kazi pia. Mmoja anajenga apartment 9 za ukweli mkoa fulani hapa nchini.

Kwa hiyo wengi hawafanikiwi ksbb hawajitambui,wanaendekeza starehe.
Well said mkuu
 
Dada acha kutaka mawazo yako ndio yaonekane legit.

Mimi Nina ndugu yangu Ni anko wangu yuko Canada. Dar ana viwanja si chini Ya 10. Na vitano viko kwenye very prime area. Ana hotel moja iko njia ya Morogoro road.

Kiwanja Cha mwisho aliniingizia hela mimi kwenye account yangu ili anunue eneo liko sinza. Sasa imagine mtu ananunua eneo sinza.

So acha kuwa naive and stop that generativity mentality.

Nina mengi ya kuandika kuhusu ndugu zangu wengine watatu walioko huko na kufuru walizofanya bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuoneshe a/c aliyokutumia pesa otherwise shut f up ni chai
 
Wewe Una nini Ndugu!!.. Unadhani wote humu hatujawahi kuishi ulaya,Marekani na Gulf?!!..Hebu tuliza matako yako huko!!!..
Tuliza husda pimbi wewe, umeishi wapi zaidi ya buza kwa mpalange.?? chuki yako kwa wa ughaibuni itakumaliza endelea kula viporo huko kenge wewe. umekuja JF kumalizia wivu wako na husda, ukifeli maisha bongo usitegemee utatusua ughaibuni !!! maisha ni yale yale hakuna sehemu pesa ziko juu ya mti unachuma kama machungwa...kazi kazi tu nyanokoo!
 
Hahahaha Wewe ndio umeishi Buza Kwa Mpalange!!...Nimezaliwa Kilimanjaro, primary Ngong hills Nairobi, Secondary Kapeeka Uganda, College Dubai business school!!.. Mpumbavu wewe!!..
 
Unataka nikufanyie Mpango wa Maisha huko huko ulipo!!..Jinga mkubwa wewe!!..
 
Tuliza husda pimbi wewe, umeishi wapi zaidi ya buza kwa mpalange.?? chuki yako kwa wa ughaibuni itakumaliza endelea kula viporo huko kenge wewe. umekuja JF kumalizia wivu wako na husda, ukifeli maisha bongo usitegemee utatusua ughaibuni !!! maisha ni yale yale hakuna sehemu pesa ziko juu ya mti unachuma kama machungwa...kazi kazi tu nyanokoo!
Endelea kubeba Box kama sio umewekwa Ndani kenge wewe
 
Hahahaha Wewe ndio umeishi Buza Kwa Mpalange!!...Nimezaliwa Kilimanjaro, primary Ngong hills Nairobi, Secondary Kapeeka Uganda, College Dubai business school!!.. Mpumbavu wewe!!..
Wewe ndio pumbavu haswaa linaweka na orodha ya shule ili kuonesha upumbavu wake...watu smart hawana haja ya kuonesha walisoma wapi jinga kabisa...wewe ni seti tupu uliposoma inaoneka ulikua wa mwisho kila siku na ndio maana ulifeli maisha ughaibuni....nyanokoo lolo.
 
Bishaneni mtakavyoweza ila ukweli utabaki mbeba mabox wa mbelez ni sawa na Managers level wa Bongo, tena mbeba box anaishi life super.

Nimeishi pande zote, sijahadisiwa naujuwa ukweli wa pande zote, hata nikipotea nikiliza uzi kwa wanangu US salio linasoma immidiately world Remit kwenye Airtel money, wakati Bongo kila mtu apambane na hali yake.

Kuna watu wanawaponda wabeba box wakati wao kodi za nyumba tu zinawasumbuwa wakati hakuna mbeba box anayepewa notice kuhama apartment kwa kushindwa kulipa kodi.

Mara nyingi wanaowaponda wabeba box ni viza refusal victim, hasira za kunyimwa viza mkawafanyie consulars na siyo wabeba box maana si wao waliowanyima viza.
 
Matola ,Matola,Matola kuna vitu hapa tofauti!!...Maisha yetu huwezi kufananisha na watu wa ulaya Sawa!!..Kuna wimbi la vijana wetu wanatoka ughaibuni tumewekeza fedha nyingi kwaajili Yao lakini matokeo ni sifuri Matola!;..Na hawa ni wengi sana,Shida yetu kubwa tunajificha kwenye Mali za familia lakini ukweli ni kwamba katika vijana 10 walioenda kusoma na kufanya Kazi Ughaibuni basi 2 ndio wanaweza kuwa na manufaa (wanaweza kujitegeme) wengine familia zinawabeba kuficha aibu kuu!!..
 
Twende taratibu ili tuelewane, umewahi kufika nchi gani ya first world?
 
Bishaneni mtakavyoweza ila ukweli utabaki mbeba mabox wa mbelez ni sawa na Managers level wa Bongo, tena mbeba box anaishi life super.

Nimeishi pande zote, sijahadisiwa naujuwa ukweli wa pande zote, hata nikipotea nikiliza uzi kwa wanangu US salio linasoma immidiately world Remit kwenye Airtel money, wakati Bongo kila mtu apambane na hali yake.

Kuna watu wanawaponda wabeba box wakati wao kodi za nyumba tu zinawasumbuwa wakati hakuna mbeba box anayepewa notice kuhama apartment kwa kushindwa kulipa kodi.

Mara nyingi wanaowaponda wabeba box ni viza refusal victim, hasira za kunyimwa viza mkawafanyie consulars na siyo wabeba box maana si wao waliowanyima viza.
Kuna majamaa humu yana hasira nafikiri visa zilibuma au walipigwa deportation, sasa hasira zao wanazileta kwa sie tuliotulia huku...maisha ni haya haya tu... waliofeli baada ya kukaa ughaibuni ni kiherehere chao walitaka kuishi ughaibuni kama vile wako bongoland ikala kwao.Baelezee.kwiiikwiikwii
 
Twende taratibu ili tuelewane, umewahi kufika nchi gani ya first world?
Matola kufika na kuishi vyema Ulaya hili sio tatizo!!.. Tatizo ni kurudi Nyumbani na huna unachoweza kufanya!!..Ni kama kuishi vizuri Chuoni na Mtaani Dar es salaam alafu umerudi kijijini ukaishi Kwa wazazi wako na ufanye shughuli za Nyumbani kwasababu huna unachoweza kufanya mwenyewe!!...(Maisha yamekupiga)
 
Back
Top Bottom