Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Kuna majamaa humu yana hasira nafikiri visa zilibuma au walipigwa deportation, sasa hasira zao wanazileta kwa sie tuliotulia huku...maisha ni haya haya tu... waliofeli baada ya kukaa ughaibuni ni kiherehere chao walitaka kuishi ughaibuni kama vile wako bongoland ikala kwao.Baelezee.kwiiikwiikwii
Katika watanzania 100 wanaoishi Ughaibuni na wanafanya Kazi nzuri hata hizo za kubeba mabox!!!...Ni Watanzania 5 Tu ndio wamerudi Nchi na tunaona wameweza kunyanyuka,wameweza kuishi maisha yao,sio tegemezi tena Kwa Ndugu,jamaa na Marafiki!!!..
 
Twende taratibu ili tuelewane, umewahi kufika nchi gani ya first world?
Unajua kwanini tunasisitiza Diaspora wawekeze hata kidogo huku Nchini?!!!.. Takwimu zinaonyesha Most of them ni useless!!... Matola kuna vitu hapa Mnachanganya kuna huyu ameenda Ughaibuni Kwa hustling na kuna huyu ameenda Kwa Elimu,Kuna huyu wazazi wake Wana uwezo na wamempeleka alafu kuna huyu ameenda Kwa Fedha za Umma!;..wote hao ni asilimia Ndogo sana wamerudi na wanafanya mambo yao!!..Nina mifano ya wazi na binafsi kwenye hili!!..Tumeenda kusoma nnje wengi lakini ni wachache tumerudi na tunaweza kuishi bila kutengemea uchumi wa wazazi wetu!!!...
 
Mkuu naomba tuwekee hizi takwimu tuzifanyie kazi.
 
Katika kilimo hakuna Diaspora (6) Katika Elimu (5) katika Hospitality (6) katika viwanda (4) Afya (6) Madini (5) Usafirishaji (6) hapa Kwa 6 ndio highest tena hizi ni za upendeleo
Then hujui hata unachokiandika au unabishania nini.

Ni wasting of time kama huna taarifa au hujui property fulani mmiliki wake ni nani, na project fulani mmiliki wake ni fulani, nyinyi mmezoea kusikia majina ya watu kama Vunja Bei, si kila mtu anaendesha mambo yake kihivyo.

Labda unataka Diaspora wote wawe wanavuma kama Alex Kajumuro na Jack Pemba?
 
Diaspora ni watu wanatakiwa kuheshimiwa sn sn sn hapa TZ kwa sasa , sababu kwasasa inaweza kuwa nguzo moja wapo ya UCHUMI wa TANZANIA BOT inatakiwa iweke wazi na publish remittance zilizoingia kwa mwaka kutoka DIASPORA inaweza zidi pato lote serikali lililopata kutoka kwenye TANZANITE au DIAMONDS kwa mwaka.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Then hujui hata unachokiandika au unabishania nini.

Ni wasting of time kama huna taarifa au hujui property fulani mmiliki wake ni nani, na project fulani mmiliki wake ni fulani, nyinyi mmezoea kusikia majina ya watu kama Vunja Bei, si kila mtu anaendesha mambo yake kihivyo.

Labda unataka Diaspora wote wawe wanavuma kama Alex Kajumuro na Jack Pemba?
Matola Kwa taarifa yako Mimi ni Mfanyabiashara na Nina fanya biashara tofauti tofauti katika vikao vyetu tunakutana na watu wengi hata hawa Diaspora tunao ndio maana Tunawajua!!...kuna industry ukiingia hukuti kabisa Diaspora na bahati mbaya sana mnapenda kusifia watu waliokua huko nnje kwasababu Tu hamjui hata hawana wanachofanya hapa Nchini!!..Huyu kajumulo anafanya nini?!!.Matola who is Vunja Bei na huyo Jack hawa matajiri wa kwenye mitandao!!..Matola najua you are better than this
 
Matola ukienda Kwa wamiliki wa Shule binafsi majina Yao utaona na kazi wanazofanya kwaajili ya kwendesha shule!!!...Ukija kwenye Kada ya Afya hivyo hivyo Ndugu yangu!!.. Kwenye Usafirishaji ni hivyo hivyo na bahati mbaya sana kwenye biashara hakuna Siri Ndugu yangu!!...Tuna makundi ya waliosoma na kufanya Kazi nnje ya Nchi Matola!!..Unajua wamefanya nini Matola Ndugu yako akikutumia 100000 ya Kula baada ya miezi miwili hii ni sawa na shillings ngapi za Tanzania Matola hizi Mada ni Nzito na inataka tafukuri kubwa!!..Matola kwani huko ulaya na Marekani hakuna Omba omba kama Dar es salaam?!!..Au tofauti ni Rangi?!..Huko hakuna walala Njee kama Kariakoo!!!..
 
Matola Kwa taarifa yako Mimi ni Mfanyabiashara na Nina fanya biashara tofauti tofauti katika vikao vyetu tunakutana na watu wengi hata hawa Diaspora tunao ndio maana Tunawajua!!...kuna industry ukiingia hukuti kabisa Diaspora na bahati mbaya sana mnapenda kusifia watu waliokua huko nnje kwasababu Tu hamjui hata hawana wanachofanya hapa Nchini!!..Huyu kajumulo anafanya nini?!!.Matola who is Vunja Bei na huyo Jack hawa matajiri wa kwenye mitandao!!..Matola najua you are better than this
Nilikuwa najuwa nafanya mjadala na mtu mwenye akili timamu kumbe mjinga fulani tu.

Wewe ni wa kujifananisha na Vunja bei? Mtu anasaini mkataba wa mabillioni na taasisi kubwa kama Simba wewe unashindwa kumpa heshima yake? Yani wewe muuza mbege ndio mfanyabiashara muda wote upo hapa kijiweni JF tunapiga soga tu.

Pumbavu kabisa.
 
Alkua chawa wa jiwe kupitia kina Jerry mulo na Sabaya.

Root za dar-moshi-arusha zilikua nyingi Sana enzi za mwendazake.

Hata genge la mtungo wa NANDY CHUGA nae katajwa sana kuhusika japokua hakupiga ila alikuepo na alikausha mdada wa watu akipelekewa Moto next door

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio naisikia hapa aisee
 
Nilikuwa najuwa nafanya mjadala na mtu mwenye akili timamu kumbe mjinga fulani tu.

Wewe ni wa kujifananisha na Vunja bei? Mtu anasaini mkataba wa mabillioni na taasisi kubwa kama Simba wewe unashindwa kumpa heshima yake? Yani wewe muuza mbege ndio mfanyabiashara muda wote upo hapa kijiweni JF tunapiga soga tu.

Pumbavu kabisa.
Vunja Bei kwako anaweza kuwa Bora kwasababu unamjua hivyo lakini kwangu akawa wa kawaida Matola Narudia you are better than this!!..Haya mapicha picha haya yasikuumize Matola ukaona umemkosea nini Muumba wako Hadi ukaadhani Sisi wote ni Takataka!!..Vunja Bei kwasababu ameweza kuonyesha mkataba wa 2 Billions Tu Hebu Panua akili yako Matola!!.. Kwenye industry ya Biashara ya Nguo huyo Vunja Bei ni nani?!..Au kwasababu ana uza jezi za Simba Matola?!..Au mapicha ya mitandaoni ndio shida?
 
Nilikuwa najuwa nafanya mjadala na mtu mwenye akili timamu kumbe mjinga fulani tu.

Wewe ni wa kujifananisha na Vunja bei? Mtu anasaini mkataba wa mabillioni na taasisi kubwa kama Simba wewe unashindwa kumpa heshima yake? Yani wewe muuza mbege ndio mfanyabiashara muda wote upo hapa kijiweni JF tunapiga soga tu.

Pumbavu kabisa.
Mbege ni biashara nzuri sana Ndugu yangu ndio imetoa wafanyabiashara wengi kwetu Kilimanjaro!!..Eti Muda wote napiga soga JF ulitaka ukiwa unapotosha Umma usijibiwe!!..Matola neno langu kwako ni You are better than this
 
Nilikuwa najuwa nafanya mjadala na mtu mwenye akili timamu kumbe mjinga fulani tu.

Wewe ni wa kujifananisha na Vunja bei? Mtu anasaini mkataba wa mabillioni na taasisi kubwa kama Simba wewe unashindwa kumpa heshima yake? Yani wewe muuza mbege ndio mfanyabiashara muda wote upo hapa kijiweni JF tunapiga soga tu.

Pumbavu kabisa.
Matola Nani alikwambia biashara kubwa ni kuuza jezi za Simba ,Matola ulidanganywa Vunja Bei ana kiwanda wapi?!!..Hebu waza zaidi Matola watu wako Bora kwenye sekta zao!!..Vunja Bei ukimwambia ana Truck ngapi Barabarani Hana hata 5,Ukimwambia ana Daladala ngapi Hana hata 1,Ukimwambia ana Gorofa Ngapi hapa Dar es salaam Hana hata 1!!...Au mashamba ya Miti Matola!!..Mbege ni biashara nzuri sana Matola!!..Mbege imenisafirisha,imenisomesha,imenipa mitaji !!..
 
Back
Top Bottom