Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Hii mada ina ukweli lakini inategemea zaidi na Mindset na jinsi ya kusimamia malengo kwa Diaspora husika. Kinachowaponza wengi ni sifa na kufuata Mkumbo.

Ila still wapo wengi ninaowajua waliofanikiwa vizuri.
Shida hawa Diaspora wamepewa majina makubwa!!.. Huwezi kuishi na kufanya Kazi US Kwa 5 years alafu ukaja hapa ukafungua Duka la Nguo au la Vyombo vya Ndani au Vitenge Eti umeishi ulaya for 10 years umerudi hapa umefungua Bar huko Mpiji magoe Au ulikua UAE for 7 years unaenda kulima Tikiti Kigamboni au kufunga Kuku 150 wanyama!!..
 
Shida hawa Diaspora wamepewa majina makubwa!!.. Huwezi kuishi na kufanya Kazi US Kwa 5 years alafu ukaja hapa ukafungua Duka la Nguo au la Vyombo vya Ndani au Vitenge Eti umeishi ulaya for 10 years umerudi hapa umefungua Bar huko Mpiji magoe Au ulikua UAE for 7 years unaenda kulima Tikiti Kigamboni au kufunga Kuku 150 wanyama!!..
everything has to grow. watu wengi ukimbilia kuanza gia kubwa ikiwa hata hawana wateja. doze doze.
 
Matola ukienda Kwa wamiliki wa Shule binafsi majina Yao utaona na kazi wanazofanya kwaajili ya kwendesha shule!!!...Ukija kwenye Kada ya Afya hivyo hivyo Ndugu yangu!!.. Kwenye Usafirishaji ni hivyo hivyo na bahati mbaya sana kwenye biashara hakuna Siri Ndugu yangu!!...Tuna makundi ya waliosoma na kufanya Kazi nnje ya Nchi Matola!!..Unajua wamefanya nini Matola Ndugu yako akikutumia 100000 ya Kula baada ya miezi miwili hii ni sawa na shillings ngapi za Tanzania Matola hizi Mada ni Nzito na inataka tafukuri kubwa!!..Matola kwani huko ulaya na Marekani hakuna Omba omba kama Dar es salaam?!!..Au tofauti ni Rangi?!..Huko hakuna walala Njee kama Kariakoo!!!..
Utakuwa ni mtoto au ndugu wa mmiliki wa FK Schools. Kuna yule ndugu yako Yona Fares Maro alijiua miaka 2-3 iliyopita, baba yake ndiyo mmiliki wa FK Schools..
 
Tuliza husda pimbi wewe, umeishi wapi zaidi ya buza kwa mpalange.?? chuki yako kwa wa ughaibuni itakumaliza endelea kula viporo huko kenge wewe. umekuja JF kumalizia wivu wako na husda, ukifeli maisha bongo usitegemee utatusua ughaibuni !!! maisha ni yale yale hakuna sehemu pesa ziko juu ya mti unachuma kama machungwa...kazi kazi tu nyanokoo!
Wanaogea maji ya visima yaliyochanganyika mavi unategemea wasiwe na roho mbaya
 
Utakuwa ni mtoto au ndugu wa mmiliki wa FK Schools. Kuna yule ndugu yako Yona Fares Maro alijiua miaka 2-3 iliyopita, baba yake ndiyo mmiliki wa FK Schools..
Kuna mtu anadhani kwasababu Una shiriki mijadala basi wote sisi ni Sawa,Una baki Una wacheka Tu
 
Wewe ndo uliepataga mchumba kwenye basi la mkoani...😂😂😂😂?
Mmmh hii story mpya,nikumbushe vizuri maana ndio leo naiisikia hii,,,,,,hebu kanitag hapo nilipoelezea hii habari nijikumbushe vizuri
 
Jogi mhamiaji toka Uganda anatuasa vijana kuwa maisha ni jinsi unavyoyachukulia ....


 
Diaspora ni watu wanatakiwa kuheshimiwa sn sn sn hapa TZ kwa sasa , sababu kwasasa inaweza kuwa nguzo moja wapo ya UCHUMI wa TANZANIA BOT inatakiwa iweke wazi na publish remittance zilizoingia kwa mwaka kutoka DIASPORA inaweza zidi pato lote serikali lililopata kutoka kwenye TANZANITE au DIAMONDS kwa mwaka.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Hizi taarifa mbona zipo miaka nenda rudi. Remittance last year 2022 ilikuwa USD 520m give or take.
 
Mimi diaspora nilokutana nao kwakweli wanavutia kila idara,yaani unatamani huyu angekuwa mme wako.

Yaani hao wawili nilokutana nao wacha wee sijui magari ya maana ni wao, sijui nyumba nzuri, ni wao, kwakweli siwezi wataja hapa ila mlipo silute kwenu.

Diaspora nyote ntaoaga mbinguni huku duniani hakuna wake zenu.

TATIZO WALILO NALO..........NI KUOA

diaspora popote mlipo aliyewaroga dawa aliwawekea mapenzini ili msioe. Poleni sana.
Wale wanakua walishaoa uko nje.
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom