Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

Karagwe ipo ndani yamkoa gani? Kwanini unashindwa kuchambua thread kiasi chakwamba unaandika kaa sisi wote tumekaa uko mkuu? Au ii ilikuwa text unamtumia shemeji imejipost kibaati mbaya?
Hii unafika bukoba na unaendelea km 100 mbele....na 52 mbele kwenda wilaya ya kyerwa....uzuri kote ni lami...
 
Hakuna ruti ya Mwanza Mbinga, ipo ya Mwanza Songea nayo ni 1300+kms ila Karagwe Dar ni 1400+
Dar karagwe ni km 1500+...
Dar to Bukoba tu ni 1440+...na bukoba to karagwe ni km 100 na karagwe to kyerwa ni 52km...
 
Wiki mbili zilizopita nilitoka Arusha mpaka Mbeya harafu nikaenda Nyasa wilaya Mpya iliyopo Mbinga Tanzania ni kubwa sana aisee...
 

Attachments

  • 20230818_162220.jpg
    20230818_162220.jpg
    748.9 KB · Views: 3
  • 20230818_160218.jpg
    20230818_160218.jpg
    492.9 KB · Views: 4
  • 20230818_154944.jpg
    20230818_154944.jpg
    1.4 MB · Views: 3
  • 20230818_143842.jpg
    20230818_143842.jpg
    531.9 KB · Views: 3
  • 20230818_142809.jpg
    20230818_142809.jpg
    1.1 MB · Views: 2
  • 20230818_143902.jpg
    20230818_143902.jpg
    665.7 KB · Views: 3
  • 20230818_143535(0).jpg
    20230818_143535(0).jpg
    711.9 KB · Views: 3
  • 20230818_133825.jpg
    20230818_133825.jpg
    1.3 MB · Views: 3
  • 20230818_132302.jpg
    20230818_132302.jpg
    419.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom