Mbunifu Mwaminifu
Member
- Dec 13, 2012
- 67
- 352
- Thread starter
- #21
Dah! Katika maandamano nilijua yanaenda kufanyika ni yale na binafsi nilikuwa naiona historia inaenda kuandikwa Tanzania. Maskini Kumbe nilikuwa najidanganya 😂😂Maandamano ya UKUTA yaligonga mwamba.