imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 47,304
- 72,424
Maandamano ni yenye ajenda Matembezi hayahitaji ajenda.Nipe tofauti yako unayoifahamu wewe, mtaalamu
Yale ya BAVICHA yalikuwa ni Maandamano yenye ajenda ya Kudai KATIBA MPYA.
Maandamano ni yenye ajenda Matembezi hayahitaji ajenda.Nipe tofauti yako unayoifahamu wewe, mtaalamu
Nilijitutumua kukupa definitions zote za Procession na Protest kwa kutegemea na wewe ungekuja na definitions ambazo zingejitosheleza kuelezea hicho ulichokiita maandamano kwa jina la procession na sio protest.Maandamano ni yenye ajenda Matembezi hayahitaji ajenda.
Yale ya BAVICHA yalikuwa ni Maandamano yenye ajenda ya Kudai KATIBA MPYA.
Kwani mada si inahusu maandamano yanayotokana na kuuzwa kwa bandari among other things?Jikite kwenye mada
Huu sasa ni ubishi hebu rudi tulipoanzia.Nilijitutumua kukupa definitions zote za Procession na Protest kwa kutegemea na wewe ungekuja na definitions ambazo zingejitosheleza kuelezea hicho ulichokiita maandamano kwa jina la procession na sio protest.
Ndio mana mwanzo nilikwambia unahitaji matibabu ya hicho kilichomo kwenye fuvu lako.
Wanazitafutaje hizo fedha? Kutoka kwa nani??Hakuna sisimizi yeyote kati ya hawa Mdude, Slaa au Mwabukusi ambaye anaweza kuanzisha maandamano.
Watu wako na mishe zao za kutafuta fedha, waache waje waunge hawa malaya wa kisiasa. !! Nani anamuamini Slaa sasa hivi? Mtu ambaye kakataliwa mpaka na familia yake na chama chake
Tatizo ni HOFU ya watawala.Wakuu na wajuzi wa mambo naomba kuuliza swali.
Binafsi tangu nimepata akili zangu, sijawahi ona hata maandamano moja iliyoitishwa ama kuratibiwa kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ama kulaani jambo fulani lilifonaywa na Serikali kisha hiyo maandamano ifanikiwe. Hapa sizungumzii maandamano ya kina Mange Kimambi na diaspora wanaoandamana kwenye balozi za Tanzania zilizopo nchi za nje ila nazungumzia maandamano kama maandamano yaliyoshirikisha wananchi hapa Tanzania na kuteka mji fulani au miji fulani ndani ya Tanzania. Mara ya mwisho kuskia joto ya kufanyika maandamano nchi nzima niliishia kuona maandamano kwenye Twitter na Facebook lakini barabarani sikuona mtu.
Vipi kuna yeyote mwenye kumbukumbu ya maandamano kubwa kutokea hapa Tanzania bara (achana na ya Zanzibar kwa sababu nilishaona mara kadhaa wananchi kufanya maandamano licha ya polisi kuonesha kuzuia) na yakafana?