Hahahahaha Siku hizi nimejifunza kuupuuziaHata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
Hahahahaha Siku hizi nimejifunza kuupuuziaHata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
Unaidhulumu nafsi....Wakati wengine wanapenda kwa kishindo wengine tunalivua pendo
HATAAMINI YAANIyaan umenena.....atakàvokugeuka
Unaidhulumu nafsi....
Jamani tena??? Andaa kuku mweupe na mafuta ya mzeituni mwaya twende kwa mshana jrAcha tu shoga nafsi idhulumiwe sio kwa yaliyonikuta
Hapana tunapenda jamanMi sidhani kama ntapendwa kwasababu mi nilikua napenda sana lakini mwishowe wanawake wenyewe nilokua nao kila mmoja nilimkamata mwenyewe bila kuletewa umbea.
Imenifanya nimeoa kutimiza wajibu na kutimiza ya dini wazazi na heshima ktk jamii na kazini.
Kwasasa nimebaki na tamaa tu yaulijali na siamini kama mwanamke anaweza kupenda hata umpendeje ukitaka kujua hilo fuatilia maongezi yao huna kitu usitegemea kuonyeshwa unapendwa kumbe zuga tu.
Bac alikuwa anapiga vizuriMkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Usinambie tu umevua tenaWakati wengine wanapenda kwa kishindo wengine tunalivua pendo
Hongera na unaonekana upo real na life, wanawake wa upendo wa agape ni wa kutafuta kwa tochi siku hizi!Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Usinambie tu umevua tena
pendeka tu baadae utashangaa umefanywa fala na huyo huyo alielilia umpende kwa dhati! Loving is very stupid!Ukipendwa pendeka, ukishikwa shikamana
hali ni tete mkuupendeka tu baadae utashangaa umefanywa fala na huyo huyo alielilia umpende kwa dhati! Loving is very stupid!
Unaidhulumu nafsi....
Mwanamke ampende mwanaume bila sababu! Haiwezekani? Kama hana pesa bac HB au anapiga vizuri. Kama mwanaume hana pesa bac mwanamke anapesa lkn anafurahi anavyopewa. Hakuna mapenzi bila pesa.
Kawaida anty si ndio mambo ya mwisho wa Mwaka .... hapa niko najiriwaza na wahu "still a liar"
Hahahaha wahuuu kiboko