Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
[emoji23] [emoji23] [emoji23]!Weee!!
Umeanza tabia gan sku hizi!! we unataka tuzunguke kujitambulisha jf yote!!
Eb mwache Sakayo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]!Weee!!
Umeanza tabia gan sku hizi!! we unataka tuzunguke kujitambulisha jf yote!!
Eb mwache Sakayo wangu
Unajiwakilisha vyema kabisa..! Keep it up..!Uchanga wa lugha unakusumbua nenda kasome namna za kuuliza maswali. Usikae na njia mgando ya kuweka alama ya kuuliza mwisho.
Acha kiherehere kama kuku anayetaka kutaga kwa mara ya kwanza.
Haya mwaya... Angalau utaonekana sasaKawaida anty si ndio mambo ya mwisho wa Mwaka .... hapa niko najiriwaza na wahu "still a liar"
[emoji8] wa mtu akiwa kwa mtu, akiwa nje wa woteeeeMume wa mtu huyo..hakuna cha bae hapo[emoji125] [emoji125]
tunapendwa ivo ivo hata kama hatuna hela wala gariHujafa hujakoma kujifunza,
Nilikua siamini kabisa hata kwa mtutu wa bunduki eti mwanamke mwenye uhusiano imara tu kabisa anaweza mpenda mwanaume kabisa kabisa yaani sio kwakubabaisha.Ni dawa ama? Sura, hela wala hana six paki/car hana lakini tayari kabisa mhusika unamuona nuksi, pita mbali shetani.
Unajitahidi kumtia moyo mwenzako lkn ngoja nikimpigia simu tu baadae analegea na kusahau ushauri wako.
Unajiwakilisha vyema kabisa..! Keep it up..!
Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Umekunywa viroba nini?Pita kimya kimya sio lazima ucomment growup!
Basi tuseme ni maoni yaisheUnajua maana ya ushauri kweli wewe
We mwenyewe inaonesha Una sura mbovu, ss utapataje mwanaume hb!!Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Utapenda tena usijaliWakati wengine wanapenda kwa kishindo wengine tunalivua pendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We mwenyewe inaonesha Una sura mbovu, ss utapataje mwanaume hb!!
karibu mie penda sana weweNipo mkuu niambie..
Me napingana na ww 100% you are totally wrong... Usiwakatishe wenzako.. Tamaa.. Mahusiano. Mazur. Huanzia from. Nothing.. To. Something... Kwahiyo.. Unawashaur wenzako.. Wawafuate wenye peas hata km no wazee???ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
Hata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa