LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
mhhHata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
mhhHata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
Asante kwa kunisema vizuri huku JF joanah wangu!![emoji1]......May God bless you now and forever![emoji120]Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
bado unae au ulimuacha? na una mpango gani,, mie nipo tu,,, karibu sana.Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Nahisi ntakuwa nimewahi kudate na weweHata mimi nampenda ex bf yaani mpaka sasa hivi sijaweza kumpenda mwanaume mwingine kama yeye na sijui ntapenda lini mtu kama ninavyompenda yeye.
Mungu hakunyimi vyote, inawezekana alikuwa kajaaliwa kusimamia kucha.Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Kumbe bado unanipenda ilihali tuliachana basi weekend hii tuonane tuweze yajenga tena yaliypita si ndwele tugange yajayo babeHata mimi nampenda ex bf yaani mpaka sasa hivi sijaweza kumpenda mwanaume mwingine kama yeye na sijui ntapenda lini mtu kama ninavyompenda yeye.
Hehehebado unae au ulimuacha? na una mpango gani,, mie nipo tu,,, karibu sana.
Huwa mnapenda sana? mbona wewe ni marshall bachelor sasa???[emoji1]Huwa tunapenda saana
Thank you love [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Asante kwa kunisema vizuri huku JF joanah wangu!![emoji1]......May God bless you now and forever![emoji120]
HahahaMungu hakunyimi vyote, inawezekana alikuwa kajaaliwa kusimamia kucha.
[emoji7][emoji7][emoji7] !.......Toto zuri akinena hadi moyo wangu hutikisika![emoji1]Thank you love [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
We ndo chanzo cha moyo wangu kudunda
Yani siku ukiniacha tu, na huu moyo unaniacha [emoji1][emoji1]
Yaan we Kama mimi, hata mtu akiniuliza unampendea nn cwez kueleza, Hana hata ule mvuto wa kiume. Lkn hata leo akinipigia cm mwl unasisimka.Hata mimi nampenda ex bf yaani mpaka sasa hivi sijaweza kumpenda mwanaume mwingine kama yeye na sijui ntapenda lini mtu kama ninavyompenda yeye.