Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Ndio Mwanamke akikupenda utajua tuu aisee vitendo atakujali sana ukaribu yani mpak atakuja kukufungukia hebu ngoja nihesabu walionitamkia kutoka moyoni mwao kuwa wananipenda na wana wish niwe mpenz wao
 
Hata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji2] ni MTU gani hana sura jamani?
 
Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Kumbe ulimpendaaa,, sasa humpendii,,tumia neno nampenda hata kama kisha kufa,
 
Hata mimi nampenda ex bf yaani mpaka sasa hivi sijaweza kumpenda mwanaume mwingine kama yeye na sijui ntapenda lini mtu kama ninavyompenda yeye.
Love till die,,we una roho kama yangu,,nikisema nakupenda ni mileleee
 
Hilo ni kweli masiki akiweka laki 5 mfukoni atakuuliza maswali magumu kama
- mbona unaniganda hivyo ni lazima uwe na mimi?
umenitokea wapi hivi wewe usiyejielewa?
-ukiniacha utakufa? itakuwa umeshindikana huko wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umenena ukweli mtupu.
 
Hata Mimi nimependaa utafikiri ameniroga hana kitu cha maana sura hana gari hana pesa hana lakini Mimi sioni siskii juu yake
Vyote anaweza asiwe navyo lkn uimara wa gar injini kama ipo imara ndio iliokufanya uhisi unaendesha range kumbe corola.
 
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
This atitute of yours is only adding more days in your fathers compound
 
INAWZEKANA kabisa na inaonyesha kuwa wao ndio wenye mapenzi ya dhati...msichana akikupenda amekupenda kweli.
 
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
You are right asilimia zoooote my dear.
 
Back
Top Bottom