Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Bila shaka umekutana na uliyemuota kwa miaka sasa[emoji7] [emoji7] hongera zako..
2005f6f3c89ba25e2297f12193c7be60.jpg

Nimeuliza swali, unaweza kujibu kama unajua kama hujui ukipita kimya kimya sio dhambi usiongee hovyo tu.
 
Mkuu mi nilipenda adi wanaume wengine nikawa nawaona vinyago tu
Yeye alikua yeye peke ake, unambie nini baya kumuhusu nikuelewe??
Hahaha
Cha ajabu hakuwaga na gari, pesa wala sura nzuri
Ndo alikuoa
 
Asante bae, wambea wanataka kutuchonganishaa
Zali la mentali[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Usjali my luv, hao wasikupe shida wanakuwaga na maneno mengi hivo hivo!. Mi na wewe mpaka mwisho wa life.
Nascreen shot haya mazungumzo namtumia mkuu kwa uthibitisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo ndugu yangu supermarket umeamua kuniunguzia picha hadharani!!
Haya kamchukue
Naenda kwa geni kupata utulivu
 
Nimeuliza swali, unaweza kujibu kama unajua kama hujui ukipita kimya kimya sio dhambi usiongee hovyo tu.
Labda mimi ndiyo kilaza sijui swali linaulizwaje, punctuation nilikimbia kipindi.[emoji41]
 
Niliitafuta sana hii nafsi but walionipenda ni watatu tu ila wawili walikua weusi balaa na mmoja alikua mwembamba mno japo alikua tangi ninayopenda, white.
 
Mapenzi Raha kama mkikutana nunda kwa nunda kama mimi na wangu, fulu kukorofishana tu tunamaliza hata miezi 4 akuna mtu mwingine kumtafuta mwenzie, yaani tukikorofishana 2 hakuna anaependa amuanze mwingine, mara nyingi tukizinguana akiwa amekuja likizo kutoka chuo tunapatana ndani ya wiki tu zeni tunazinguana, mpaka anaenda masomoni bila kuagana, lakini akikaribia kufunga chuo kama wiki 1 huniandikia sms kuwa wanafunga anakuja kwao, namjibu kifupi poa, akifika kwao 2 kitu cha kwa ananitafuta kuwa yupo kwao, namwambia aje geto akifika 2 kitu cha 1 ni kunipa papuchi na kuigonga kiukwelikweli takribani kama wiki moja, zeni tunazingua hata sms hakuna anaemwandikia au kumpigia cm mwenzie, mpaka anaondoka kwenda chuoni lakini kila mara wakikaribia kufunga ananza kunichokoza kwa sms karibu wanafunga anakuja, akija kama kawa anatoa papuchi naigonga kidume baada ya wiki tunazingua tena mpaka anaenda chuoni akikaribia kufunga tu anatuma sms anakuja, kitabia hichi sijakijua cha kuachana na kurudiana kinasababishwa na nn
hahahaha kuna jamaa aliwahi wekaga aina ya uhusiano humu...Na huu wa dizaini yako ulikuwepo man...Hahahahahaha nyie mnapendana ila utoto ndio shida
 
Zali la mentali[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Nascreen shot haya mazungumzo namtumia mkuu kwa uthibitisho

Naenda kwa geni kupata utulivu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaah!! Hivi lengo lako ni nini hasa leo!!!
Mbona unakuwa kama mr Gambo asee.
 
Labda mimi ndiyo ****** sijui swali linaulizwaje, punctuation nilikimbia kipindi.[emoji41]
Uchanga wa lugha unakusumbua nenda kasome namna za kuuliza maswali. Usikae na njia mgando ya kuweka alama ya kuuliza mwisho.
Acha kiherehere kama kuku anayetaka kutaga kwa mara ya kwanza.
 
Napitia kwenye nyakati kama hii, sikuwa naamini pia kuwa mwanamke anaweza kupenda bila kujali hali ya mwanaume.
 
Back
Top Bottom