maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 692
Hata kuelezea kwangu na upweke siwezi, ila Mungu anamuona tuu.
Duh!! Basi ww ni nomaaa. Yan had mwili kusisimka[emoji12]Yaan we Kama mimi, hata mtu akiniuliza unampendea nn cwez kueleza, Hana hata ule mvuto wa kiume. Lkn hata leo akinipigia cm mwl unasisimka.
Acha kumuaibisha bf wako bhana et hana hata mvuto wa kiume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] sasa huko unapotaka kwenda gar halipiti..rudi tafadhaliYaan we Kama mimi, hata mtu akiniuliza unampendea nn cwez kueleza, Hana hata ule mvuto wa kiume. Lkn hata leo akinipigia cm mwl unasisimka.
Ulishatendwa nini miss?ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
umerudi? nilikumissWakati wengine wanapenda kwa kishindo wengine tunalivua pendo
Karibu sana Mkuu. vipi mtoto wetu amekua ssa? rudisha ile avatar ya mwanzo ndio ilikuwa inakutambulisha vizuri.Nimerudi mpendwa
MAPENZI AU NGONO ndo kitu cha ajabuMapenz kitu cha ovyo sanaaa[emoji23][emoji23]
Karibu sana Mkuu. vipi mtoto wetu amekua ssa? rudisha ile avatar ya mwanzo ndio ilikuwa inakutambulisha vizuri.
Amekua mkuu nimeanza kupokea naposa sasa
Vp dudu alikuwa anapiga fresh?Hahaha
Yule mwanaume nilimpenda jamani!
Nilikamatika
Mambo rubii?Wakati wengine wanapenda kwa kishindo wengine tunalivua pendo
Mambo rubii?
Rudisha avatar yako ile ile.
Naipenda sana.