Hivi kumbe mwanamke anaweza akampenda mwanaume

Dah huu uzi umenifanya nigundue kitu muhim kutoka kwawanawake, tunapoelekeza nguvu zetu kutafuta pesa tusisahau kuzichunguza nadyudyu zetu kama zinafanya kaz vizur
 
Haswa gari ni injini matairi hata grage yapo
 
inawezekana mhariri alikuwa katikati ya watu watatu na yeye wanne ambaye ni mmojawapo kutokana na kale kautafiti

duh[emoji15] kumbe namimi ulikua unaniona kinyago tu[emoji23]
Inawezekana hata mimi kwake nilikuwa kinyago tu...
Daah....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Usijali mkuu, uwezo bado anao, nitakuunganisha nae naona unalitamani sana ilo dudu
Mi ni mwanaume..ni curiosity tu kujua kama sababu ya kumpenda ni dudu na uwezo kama anao ilikuaje ukamuacha...sorry kama upo offended naona km umepanic
 
Wala sijapanic mkuu

We ni mwanaume ila unaweza kuwa shoga pia. . . Hamshindwi siku izi

Sema next time kabla hujakurupuka ku-quote jaribu kupitia comments za juu kwanza

Hakuna sehemu niliyoandika kua mimi ndo niliacha
 
Pole sana dada nisamehe mimi kwa kukurupuka.
 
Daah mi sijui gundu mimi nikianzishaa urafiki na dem yeyote waukweli then akishajua na mpendaa wanakukula konaa...
 
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa
yaan umenena.....atakàvokugeuka
 
ila jua tu maskini hapendeki! jifunze kwangu usivumilie taabu za mwanaume eti kesho utaenjoy hakuna kitu kama hicho . yaani huyo nuksi shetani akupitie mbali kabisa

Alichokufanyaga huyo mwanaume unaijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom