Hivi kiuhalisia Mtuhumiwa mwanamke anaweza kusachiwa na askari mwanamume?

Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.

Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.

Sabato njema!
Kwa mujibu wa Afande Mahita LLB holder hahahahaa mluguru mpuuzi kweli yule
 
Kutokana na ulaini wa miili ya wanawake, ile kugusana tu naye tu kwa mwanaume rijali ni lazima huanza kuamsha hisia za kuhisi kautamu ka namna fulani na hatimaye kunogewa na kutaka kupapasa "deep" zaidi.

Polisi kiume ni vyema akadili na mtuhumiwa wa jinsi yake, ili kutuliza mzuka na hapo pengine ukute mtuhumiwa wa kike ni bonge ya "pisikali" hapo ndipo shida inakuwa kubwa zaidi. We fikiria tu sifa za uwepo wa chura wa haja, madodo kifuani, paja za nguvu, guu la kweli, sura ya kimdoli, mmh!
Hahaha hata Kada wa CCM Mzee wangu Sirro lazima mapigo yaende speed
 
Mahita mahakamani kasema anasachiwa
Mahita huyu huyu ambaye baba yake mzazi aliwabambikia CUF kesi ya kuingiza container lenye visu na majambia kwa ajili ya kufanya ugaidi? Jamaa karithishwa ujinga badala ya weledi.
 
Laiki Faza laiki Sani. Bado tu kuzaa na Hausigeli na kumtelekeza Mtoto na kupandishwa kizimbani kwa kushindwa kuhudumia
 
Askari wenyewe kwa midomo yao huwa wanajisemea ukiingia kule haki za kiraia huwekwa pembeni wakati wa kuhojiwa kipekuliwa n.k

Nikijibu maswali yako. Nadhani si sahihi
Hayo ni maneno yao sio ya sheria
 
Duuu kada mahiri naye anauliza swali hili la policeccm,kweli dunia inakwenda kasi mno!elewa pia kwa wanakojielewa unaweza kukataa mpaka mwanasheria wako awepo
Huyo Mzee Mgaya ni mnafiki tu. Hivyo hutakiwi kumtilia maanani. Akiwa humu jukwaani anajifanya kuumia na kuguswa! Akiwa kilabuni na makada wenzake, unamkuta amekenua tu meno 😬 huku akijiburudisha kwa pombe ya ulanzi na komoni.
 
Hahahaaaa........ Umenikumbusha " Kibanda cha mbege" aka kibanda umiza!
 
Hatuajiri maaskari kwenda kuwa maCEO, hivyo tunataka wale waliofeli...😁😁
 
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.

Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.

Sabato njema!
Mahita amesema askari yeyote anaweza kumpekua mtuhumiwa, japo hajui kama anaweza!
 
Kutokana na ulaini wa miili ya wanawake, ile kugusana tu naye tu kwa mwanaume rijali ni lazima huanza kuamsha hisia za kuhisi kautamu ka namna fulani na hatimaye kunogewa na kutaka kupapasa "deep" zaidi.

Polisi kiume ni vyema akadili na mtuhumiwa wa jinsi yake, ili kutuliza mzuka na hapo pengine ukute mtuhumiwa wa kike ni bonge ya "pisikali" hapo ndipo shida inakuwa kubwa zaidi. We fikiria tu sifa za uwepo wa chura wa haja, madodo kifuani, paja za nguvu, guu la kweli, sura ya kimdoli, mmh!
Kwa sifa hizo za huyo demu Mimi hapo hapo namuambia ainame nakumpa mfululizo wa mijolobe kwa nguvu zangu zote.

Yani nikirudi shuleni lazima nitasomea kuwa mhadhiri na daktari wa wanawake.
 
Tunaposema Polisi Wanatakiwa kuongozwa na kanuni zào ziitwazo PGO lakini wamezitelekeza na wanakwenda kama Kuku aliyekatwa kichwa Kwa vile uonevu na umatlli dhidi ya raia umekuwa ni kawaida na hawajali.

PGO 272(3) inatamka Wazi kwamba mtuhimiwa wa kiume atapekuliwa na Askari wa kiume isipokuwa pale Tu mazingira ya upatikanaji wa Askari wa kiume yanapokuwa magumu na ni lazima mtuhimiwa apekuliwd kwa haraka.

PGO 272(4) inasisitizatuhumiwa wa kike lazima apekuliwe na Askari wa kike na kama Hakuna Askari wa kike atafutwe mwanamke mwenye kuaminika particularly mke wa Askari aliye karibu.

Lakini Jana Mkaguzi wa Polisi anajitoa ufahamu na kusema Hakuna lazima mtuhimiwa wa kike kupekuliwa na Askari wa kike.

hayo maelezo ya PGO yako wazi ila unasoma huku unahemkwa.jamaa kajibu sio lazima,ndio na PGO inaagiza atafutwe mwanamke wa kuaminiwa,vinginevyo ingeagiza akatafutwe mkoa jirani.

tuliza fuvu kwanza,wewe ungekuwa kibatala mahita angekupiga kizembe sana hapo mahakamani.
 
Kutokana na ulaini wa miili ya wanawake, ile kugusana tu naye tu kwa mwanaume rijali ni lazima huanza kuamsha hisia za kuhisi kautamu ka namna fulani na hatimaye kunogewa na kutaka kupapasa "deep" zaidi.

Polisi kiume ni vyema akadili na mtuhumiwa wa jinsi yake, ili kutuliza mzuka na hapo pengine ukute mtuhumiwa wa kike ni bonge ya "pisikali" hapo ndipo shida inakuwa kubwa zaidi. We fikiria tu sifa za uwepo wa chura wa haja, madodo kifuani, paja za nguvu, guu la kweli, sura ya kimdoli, mmh!
Mkuu umewasili na ndege ya saa ngapi kutoka jukwaa la MMU? 🤣 🤣 🤣
 
Tunaposema Polisi Wanatakiwa kuongozwa na kanuni zào ziitwazo PGO lakini wamezitelekeza na wanakwenda kama Kuku aliyekatwa kichwa Kwa vile uonevu na umatlli dhidi ya raia umekuwa ni kawaida na hawajali.

PGO 272(3) inatamka Wazi kwamba mtuhimiwa wa kiume atapekuliwa na Askari wa kiume isipokuwa pale Tu mazingira ya upatikanaji wa Askari wa kiume yanapokuwa magumu na ni lazima mtuhimiwa apekuliwd kwa haraka.

PGO 272(4) inasisitizatuhumiwa wa kike lazima apekuliwe na Askari wa kike na kama Hakuna Askari wa kike atafutwe mwanamke mwenye kuaminika particularly mke wa Askari aliye karibu.

Lakini Jana Mkaguzi wa Polisi anajitoa ufahamu na kusema Hakuna lazima mtuhimiwa wa kike kupekuliwa na Askari wa kike.
Hakujua kwamba anazidi kujiharibia kuaminika kwake kwenye ushahidi wake (credibility). Mawakili wa utetezi hasa Kibatala, walifanya damage kubwa kwa shahidi huyu (irreparable damage) kiasi kwamba ushahidi wake utabaki unaelea. Anaachiwa Jaji kuja kufanyia majumuisho ya kesi nzima huko mwishoni.
 
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.

Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.

Sabato njema!
Ngoja nikupe vidokezo vichache vya vijisiri vya jeshi.

kumbe wee hujui sheria za jeshi, eti eeeh!!!! kisheria jeshi linaamini every one is a man. Na kijeshi hakuna habari za jinsia, ndo maana jeshini wote wanaitwa men licha ya kujalisha jinsia ya kike au kiume.

Je? ungeshuhudia jeshini watu wanavyokaguliwa wakiwa uchi wa mnyama bila kujali jinsia si ndo ungejikojolea kabisa?
 
Back
Top Bottom