Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Watu wanakunywa pombe na hawafanyi vitu vya ovyo, kuna watu wanakunywa pombe inawapa raha kama vile ww unavyokunywa soda vile .
Biblia ilichokataza ni ulevi ambao upo wazi unaeza kuwa ni wa kitu chochote.

Tunaongelea imani tutajikita kwenye imani zaidi na si maisha ya kawaida kama unavyotaka wewe, imani haipaswi kuwa na maswali mengi unafuata kile unachoambiwa tu pasipo kuhoji sana.
Biblia ambacho ni kitabu cha wakristo wote kimekataza kula nguruwe direct, kimeandika nguruwe asiliwe zaidi ya maandiko 30
Suala la imani kila mtu ana imani yake. Kwahy kuhusu imani kaa nayo Ww mwnyw unayeamini.
Swali langu linabaki vilevile, uharamu wa kitimoto ni upi?
 
Kitimoto inabidi ipikwe vizuri na iive sawa sawa. Ina minyoo hatari ambayo huwa haifi kirahisi na ukila ambayo haijapikwa vizuri minyoo hiyo ina tabia ya kupanda kichwani na kusababisha kifafa na baadaye kifo.

Kama unapiga sana mbuzi huyu wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu. Hii ni muhimu sana!

View attachment 3444594
Uko sahihi, ila inategemea sana na nguruwe kafugwaje? Kuna wale aanaoa hwa wazurure wale majalalani! Wale ni hatari mkuu, nyama yake unaweza kuleta hata uwazimu kwa mtu!
 
Kitimoto inabidi ipikwe vizuri na iive sawa sawa. Ina minyoo hatari ambayo huwa haifi kirahisi na ukila ambayo haijapikwa vizuri minyoo hiyo ina tabia ya kupanda kichwani na kusababisha kifafa na baadaye kifo.

Kama unapiga sana mbuzi huyu wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu. Hii ni muhimu sana!

View attachment 3444594
kuna madaktari wanasema kuna balaa kiafya kama isipoandaliwa vizuri
Kwahy ikiandaliwa vzr uharamu unatoka? Yn ikipikwa vzr inakuwa sio haramu?
Kwan mmesikia tunakula ikiwa haijapikwa vzr?
 
Umeuliza swali afu hapo hapo umejijibu, kwan kati ya kitimoto kingi na kidogo kipi ni haramu?

Afu mbona point ya msingi unaiacha unakimbilia point ndogo? 😂
Sijawahi kuona uharamu wa chakula chochote zaidi ya kula kwa kiasi tu , kwani haujui kugida kitimoto mno sio nzuri kiafya?
 
Haya torati imeandika usile nguruwe wala mchuzi wake , sasa ebu twende na hili andiko kiroho namna ya kutokula nguruwe wala mchuzi wake kiroho.
Kwani kiroho ukila nyama ya nguruwe na mchuzi wake ndio unakiwa katili? Unakuwa huna upendo kwa wengine? Unakuwa mnafiki? Unakuwa na wivu? Unakua na roho mbaya? Unakuwa na chuki na wengine? Kiroho nyama ya nguruwe inakuathiri vipi? Mambo mengine ni mambo ya hovyo kabisa
 
Mambo ya agano la kale hayo watu walikua wakienenda kimwili sana kuliko kiroho. Nina bado kuna dini zinaenenda kimwili zaidi kuliko kiroho kama walivyokua Wasadukayo wa agano jipya
Agano jipya hakuna sehemu ambapo biblia imesema nguruwe aliwe bado imekataza nguruwe .
Agano la kale ni msingi wa sheria kuzini, kuiba, uongo kula nguruwe na mambo mengine yote msingi wake ni sheria .
Kuna tamaduni na sheria kwenye biblia sheria inabaki kuwa sheria ila tamaduni pekee zinaweza kubadilika na si sheria.
Watu wazini na kuiba kisa tu wapo kwenye agano jipya?
 
Tupe maandiko yanayothibitisha
Matendo ya Mitume 10:10-15
[10]akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,

[11]akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;

[12]ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.

[13]Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule.

[14]Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.

[15]Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu usiviite najisi.
 
Kwani kiroho ukila nyama ya nguruwe na mchuzi wake ndio unakiwa katili? Unakuwa huna upendo kwa wengine? Unakuwa mnafiki? Unakuwa na wivu? Unakua na roho mbaya? Unakuwa na chuki na wengine? Kiroho nyama ya nguruwe inakuathiri vipi? Mambo mengine ni mambo ya hovyo kabisa
Ndio useme aliye andika usile nguruwe kwenye biblia ndio kandika mambo ya hovyo ,hilo usiniambie mimi sihusiki mkuu.
 
Kwahy ikiandaliwa vzr uharamu unatoka? Yn ikipikwa vzr inakuwa sio haramu?
Kwan mmesikia tunakula ikiwa haijapikwa vzr?
umetoa mfano kwamba labda pombe inapoteza utimamu, ndo nikakupa hiyo ya wataalamu wa afya mkuu, hayo mengine kila mtu ataangalia ustaarabu wake
 
Suala la imani kila mtu ana imani yake. Kwahy kuhusu imani kaa nayo Ww mwnyw unayeamini.
Swali langu linabaki vilevile, uharamu wa kitimoto ni upi?
Uharamu wa kitimoto upo kwenye imani ukiondoa imani kitimoto si haramu na unaweza kula utakavyo.
Imani ndo imeharamisha ulaji wa nguruwe pasipo imani unaweza kula hata nyani Au chochote ilimradi kwako unaona ni chakula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom