Hivi JF ni kama Love addiction?

sure hata mm siku ya leo duh nikajua ishakuwa blocked na hii company ya simu ya vodafone maana ilikuwa inaandika bad getaway
 
Kama maradhi ya kupenda kupitiliza......Usipomuona unayempenda unakuwa kama umejeruhiwa. Duh..kwa kitendo cha hawa jamaa kuadimika hewani kwa zaidi ya masaa 6 nimekosa raha tena wikendi hii wametutia majaribuni wengi wetu lol!

Naombeni ushauri jinsi ya kupunguza mapenzi yangu kwa huyu Kimwana JF HAKYANANI

Mkuu Platozoom, sio weye tu huyu ntoto amitukamata wengi yakhee. Yani wapata ugonjwa hivi hivi waona kwa kunkosa huyu mwana,masaa 6 mmengi atii.
Can someone do a rollcall ili tujue kama sote tu wazima na hakuna alopata hata attack baada ya haya masaa ya ukwasi.m
Mimi naanza,kama upo shout out kwa kusema ''leo na jana''; Mtambuzi? AshaDii? Boflo? Mwali? MwaJ?Watu8?ArushaOne?
 
Acha tu haya kweli ni maradhi..............ila tusisahau kula carrots kwa wale wenye wanaotumia laptop maana macho yatakuja kufa................"leo na jana".

Mashalah huyu mtoto anatudatisha shehe
 
ha ha ha ha

siku hizi wala sisemi ni wa jf

nasimulia tu, kuna mbabu mmoja anaitwa DC ana busara.

Au kuna mbabu ODM anakagua huyo.

Yaani nshajifanya ni majirani zangu.

Siwezi sema jf wataniuliza ID yangu afu niumbuke bure.
ha haaaaaaaaa, yaani umenichekeshaje Kongosho!
kweli kuna watu huku ID zao zikijulikana watu watazimia
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa ndio utaelewa ni kwa nini hata mateja kuacha unga inakuwa ngumu. Mimi sio mtu wa muda mrefu humu.....ila wazee kuiacha siwezi kwakweli, tena hasa kwenye hili jamvi la mapenzi hili............yaani kilasiku lazima nihudhurie humu
 
Back
Top Bottom