Hivi JF ni kama Love addiction? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi JF ni kama Love addiction?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by platozoom, Sep 22, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Kama maradhi ya kupenda kupitiliza......Usipomuona unayempenda unakuwa kama umejeruhiwa. Duh..kwa kitendo cha hawa jamaa kuadimika hewani kwa zaidi ya masaa 6 nimekosa raha tena wikendi hii wametutia majaribuni wengi wetu lol!

  Naombeni ushauri jinsi ya kupunguza mapenzi yangu kwa huyu Kimwana JF HAKYANANI
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kuna vitu vinatengeneza addiction na hii kitu ni balaa!!!!
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  I thought l was the only one hurting!
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kama kuna kitu kimenibamba basi ni JF..
  Hakyanani platozoom kama ukipata dawa ya kuondoa hii addiction basi nitupie na mie!
  Masaa sita kama miaka sita..lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Acha tu hii kitu balaa nina wasiwasi akina Invisible na @maxecence melo wanatia kakokein kwenye server
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nahisi wamenipa limbwata!
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  Kwangu me naona zaidi ya limbwata maana nilikosa raha mchana kutwa!

   
 8. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh..! so you hurted as if you found someone cheat!
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,836
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa maana hii si kawaida kabisa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh!!! Kumbe tupo wengi.
   
 11. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Ngoja nijaribu kucheck na wataalam wa "rehab" watupunguzie mastress maana tunakoenda kibaya
   
 12. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Ndio maana nahisi wameweka kakoein kwenye server hakyanani
   
 13. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi nilifikiri wameblock JF address kwenye server yetu kwani nafikiri inasomeka kufunguliwa na kusomwa mara nyingi kuliko zote kwenye computer yangu. Nafikiri JF address yaweza kuwa inaongoza kwa kuwa na watazamaji wengi kwa mitandao ya kiswahili duniani.

  Udumu milele JF.
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sio siri bro..yaani hata hapa home nimeulizwa kama naumwa!
  Manake unyonge si wakawaida..kisa JF..mmmh!
   
 15. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Aisee nimecheka manake nimepiga picha ulivyokuwa mnyonge.............Ungekuwa kama Asprin huyoo kwenye kiti kirefu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Invisible lazima atueleze hizo server katia nini la sivyo tundamane
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,317
  Trophy Points: 280
  Pole...........halafu idumu milele shauri yako utaumia lol!!
   
 18. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Mm nimegombana na wife siku nyingi kwa ajili ya mtoto huyu JF, nimehama nyumbani nikahamia kwenye mobile nako macho na dole gumba Quishney natumia miwani barabarani wanadhani Mentali
  Sasa nikufanyeje wewe mtoto kabla sijapelekwa Mirembe?
  Pombe na sigara nimeacha hata mademu kweli JF
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  afadhali imenipa muda wa kufanya maongezi na familia.
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  mimi nimeweza kumuangalia Ukwa achinaka again na his famous phrase "a man should hold his manhood for urine to have direction". I just love the dude!

  Nyingine hii, "your wife have bewifed you until there is no manhood left in you".
   
Loading...