Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Huku ndo kulikuwa nyumbani nikakupiga chini dah yaani acha tu ligi ianze tu maana tumekondaa......nilikuwa nakusalimia the husband material to be.....😀😀
Hahahaha Hus-what now? Dah! haya bana Ever-troll, najua nitakupatia wapi. Bora nyie mnaanza muda si mrefu, sisi bado tupo sana.
Tunafahamiana tu ndani ya jf, kwa nje hatufahamiani
so long as ni watu wawili tofauti, basi lazima kutakuwa na Vitu tofauti kati yetu hata kama ni kimoja. Kuhusu umri wake sifahamu, labda kama utaweza ungejaribu kumuulizathis is wonderful. ..!!! ila hii inanishangaza kwa kwel... anyway nili fuatiliaa comments zenu naona kwel kuna utofaut kidogo... ila yule nahis umri umesogeaa hiv..
Koh koh koh koh!!!!! Mume au waume...loh!!samahani nilijua nakunong'oneza kumbe nimeskiwa na wengi....
Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu..
so long as ni watu wawili tofauti, basi lazima kutakuwa na Vitu tofauti kati yetu hata kama ni kimoja. Kuhusu umri wake sifahamu, labda kama utaweza ungejaribu kumuuliza
Kumpata Wife Material Ni Wew Tuu Unavyojiweka.
Nipe sifa izo kwanza kujiweka ili nipate wife material
Uwe Unapenda kuchangia Kwenye Jukwaa La Biashara
😱ssa mbna unakimbilia kwenye pesa kwani wwe mchaga
Embu tutake radhi mkuu
haya ni matusi na kashfa za wazi!!
Hapa ni kijiwe cha stori tu kupunguza uchovu mawazo na kujiburudisha.
Humu kuna wanawake na wanaume pia why umeshambulia wanawake pekee?? au wanaume humu ni husband material wote??
Jamani unakiuka haki zetu!!
umetukosea heshima!!
Umetunyanyasa!!
Kwahiyo tuondoke humu mbaki wenyewe midume si ndo ushoga utakua kwa kasi sana
kwahiyo equality mnakuja kutafuta JF kutumia ID fake in reality mmeshindwakujibu vibaya kivipi??
wengine tunaingia JF kubishana na watetea la mfumo dume. its a way to get the word out and change things. sasa kama mtu atatafsiri kuwa ni "nimekata tamaa"........whatever makes you feel better about yourself.
bila kusahau wengine wapole wapole hujui ndo wako mawindoni?? alete stress zake online akose mume? hahaaa
itakuwa kama ule uzi jamaa aliotaja majina ya wadada wenye midomo michafu. . .