OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Asee wapo best women . . .Qualitatively best beyond explanation. . . . WAPO. . . . .!!!!
Mkuu, nimebahatika kuwafaham na kukutana na wadada kadhaa wa jf.....
Wapo tofauti kabisa na wanapokua humu jf.
Wapo waungwana, Wacha mugu na hofu, wakarimu na wenye hekima tofauti sana na wanapokua humu jf aiseee
God bless u... It seem like u read my mind'Wife material' ni total bs, kila mwanaume ana vitu vyake vya kipekee anavyotaka toka kwa mwanamke anayetamani kuishi naye,.viwe vibaya au vizuri. Usiruhusu watu wakuchagulie unataka nini. Society will always front if you fight forces of nature, but that don't mean you should be a b!tch and just follow. Be your own man, set and define your own pace.
mkuu majanga gani yamekusibu? maanake hizi thread zako za hivi karibuni kama za kutoa ya moyoni vile...
karibu JF.....what u see IS NOT what you get.
Asee wapo best women . . .Qualitatively best beyond explanation. . . . WAPO. . . . .!!!!
I don't see nothing bruv, i can only read through. And fortunately, i don't expect nothing, so i can't be disappointed.
Nadhani kupitia posts humu unaweza kumsoma mtu uwezo wake kichwani, tabia, na mazingira aliyo pia. Tones zao, lugha na maneno wanayotumia na wanapoyatumia, namna wanavyo-interact na watu, ni rahisi sana kujua yupi wa kumuepuka na yupi anajielewa. Ni kweli wapo wanaojitoa 'ufahamu' ili kuburudisha na kuburudika, ila bado class haijifichi.
Kuna wanawake wanaojielewa vizuri tu humu, ila ni wachache sana, sana. Vivyo hivyo kwa upande wa pili.
Kweli mwanangu humu huwezi kupata mke labda vipoozeo tu
Kwa hizi fake id kusema mke mwema hayupo si sahihi
Naona unataka kunipeperushia ndege wangu
Kesho njoo na mada nyingine inayosema wife material wapo jf
Naamini waliopo jf ndo wale wale waliopo mtaani. Wapo wanaojitambua sana na wapo wenzangu na mimi, unfortunately huwezi kufanya conclusion kwa kupitia maandishi ya mtu. Kuna wengine kwa maandishi yao wanaonekana hawafai but maybe ukiwa naye karibu ndo utagundua her positive side. Wengine wana maandishi yakuvutia but ukiwajua kiundani ndo utajua weakness zao nyingine.
Mahusiano ya humu yanavyofail ndo na ya mtaani yanafail hivyo hivyo. Huwezi kujua mtu alivyo unless umekuwa naye kwa ukaribu zaidi. Kwa hiyo if you dated someone from jf na mahusiano yenu hayakudumu,.. basi ni yalishindwa coz mlishindwana kwenye baadhi ya mambo, unless alikucheat, basi Kila mmoja wenu ana mchango wake katika mahusiano yenu yaliyovunjika.
Naamini Hamna malaika humu, Kila mtu ana mapungufu yake, swali ni je utampata ambaye mtaweza kuchukuliana madhaifu yenu? Kama ambavyo unaomba huku mtaani kumpata mtu wa kuendana na wewe.
Wafundishe jinsi ya kutega nyavu vizuri.