Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Nimeshafika mamy.
Huyu Viol sijui ni nini kimemkumba.
Wife material wapo mtaani huko huku ni internet material ndipo tunapatikana.
Ujue mtu anaweza kuwa wife material kutokana na mazingira mliyokutana.

Unaona sasa majibu yako yalivyo makali wewe utakuwa si wife material.....hahahhahhaha!!!!.....uache majibu makali uwe wife material......
 
Last edited by a moderator:
Unaona sasa majibu yako yalivyo makali wewe utakuwa si wife material.....hahahhahhaha!!!!.....uache majibu makali uwe wife material......
katika wale wa JF kashapoteza sifa
 
usiku mwema umechoshwa na nini au ndo kuchapiwa ni siri ya ndani,hizi siri za ndani zinachosha mno shahidi everlenk

Wife material anauliza tu Baba Viol umeosha mwiko wangu.....😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Kweli mumy......yaani nilikuwa nikiliona hili buti najua booonge la husband material.....lol

ha ha ha! umenifanya nicheke! husband material? unajua hata mimi nahisi humu hakuna husband materials huku kuna Gusa gusa sound! mniwie radhi kama mpooo!
 
kumbe bhana ni mumy nimekwepa sana kumjibu nikasema huyu mwanaume kumjibu ni kama ukorofi mbona ana maneno malaini,ona sasa

Unaona sasa ulivyokuwa unafikiri sivyo unaweza kuta hata mimi hapa ni me....lol
 
Viol kama vipi nikulengeshe kwa mmoja huyo namfahamu personally. Ana sifa zote za kuitwa mke.
Lakini pia my everlenk ni mke bora kabisa, kuanzia maongezi yake ndani ya jf..wapo wengi tu naamini ni wadada wenye heshima zao.
Mwisho ni my love, she's a gift from God.(everlenk usinune).
 
Last edited by a moderator:
Jf ni kichaka..kujua tabia za watu ni kazi..sio kila mtu anayaishi maneno anayoyaongea

Maneno anayoongea MTU akiwa anonymous huwa yanawakilisha jinsi alivyo hasa japo mwenyewe anaweza kudhani anatania. Maneno azungumzayo MTU akiwa kwenye real identity huwa yamejaa unafiki!
 
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume,wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bhana hamna kitu...Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.


UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF.

Pole mkuu kwa yaliyokukuta
 
Viol kama vipi nikulengeshe kwa mmoja huyo namfahamu personally. Ana sifa zote za kuitwa mke.
Lakini pia my everlenk ni mke bora kabisa, kuanzia maongezi yake ndani ya jf..wapo wengi tu naamini ni wadada wenye heshima zao.
Mwisho ni my love, she's a gift from God.(everlenk usinune).

Mwambie huyu wife materials wapo kibao kuanzia ex zako mpka the original wote ni wife material.....huyu kijana wako Viol atakuwa na matatatizo kidogo yamemsibu amevurugwa si bure embu mpeleke jando kidogo apate semina ya kuwa husband material.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom