Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi mwanaume mwenye akili timamu unatafuta mke jf.labda uwe domo zege
 
Hayo majibu mabaya lazima yatakuwa na chanzo! Mtu hawezi kukujibu vibaya bila sababu! Hivi jichunguze vyema kama huwa inakutokea mara nyingi. Pia huwezi kufanya hitimisho la kutambua tabia za wanawake kwa kutumia JF!!
 
Hahhahaha! !!!! Soma tu mwaya ex shem ameamua kutulipua......mpunguze Majibu makali muwe wife materials. ....lol

Hahahaaaaaaa!! Yaani huyu ex wangu sijui siku hizi ana stress gani!! We angalia tu aina za thread anazoanzisha kokote kule utagundua tu there is something wrong, amechakaaa hatari, we Viol kuwajibu tutawajibu tu, aina yenyewe ya wanaume ndio wewe alafu unategemea majibu ya aina gani?? Unapewa majibu kulingana na akili yako, hata mtoto hufundishwa kulingana na uwezo wake wa akili, cute b uko wapi jamani? Hebu njoo umfanyie dogo councelling.
 
Last edited by a moderator:
haa brothers mshaanza ivooo! we are not hunting bana! kila kibaka ana police wake nje ya jukwaa! hawa wanaokamatana humu zingine zina work! zingine ndio majanga type mnaishia kulalamika kama namna hii.
Hunters "hatuna" lebo ujue yaani hapa tu kwa mnyumbuliko wa mawazo mtu anaweza ona indicators za hao wanaoitwa wife material. . . . .Labda. . . . Au hao wasiochukuliwa kama wife materials. . . . .lakini anaweza fundishika na akawa poa sana tu

Mwisho wa siku wanahitajika "wedding materials" wawili ili kieleweke. . . . .La sivyo kulala home kutii kiu kitaa, . . . . .michepuko itaisha hapo??!!!
 
Hakuna mke hapa JF,hapa utapata aliyezalishwa,aliyepewa talaka au aliyetelekezwa pia umri zaidi ya 30yrs,labda kama hata mwanaume unafanana na matukio haya,Jf ni used spares sio wife materials

Eeeh 😕😕 mbona sipo katika hio list...hiii ni kwa utafiti wako au hisia mkuu
 
Huwezi kutambua kuwa ana watoto.au ameachika hadi ukiwa nae kwa muda mrefu,kuna mmoja tulikubaliana kuonana Buguruni,nikaona nimepata mrembo na haonyeshi kuwa ni used spare,sasa siku1 nilimpigia simu usiku nikasikia mtoto analia,akanijibu mtoto wangu anaumwa,nikauliza kwani una mtoto,akajibu nina watoto wawili na huyu anayelia ana miezi8,nilichoka na wanawake wa Jf
 
Hivi mtu akiwa na watoto anakuwa sio wife material??!!
Mtu akiachika anakuwa sio wife material??!?
Mlipokutana Buguruni mliongea nini badala ya kufahamiana kwa mambo ya msingi??!!

Ulichagua fungu naye akakupa nyongeza mteja wake. . . . .
 
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume,wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bhana hamna kitu...Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.

UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF.

What do you mean when you say "wife material"
 
Hivi ktu akiwa na watoto anakuwa sio wife material??!!
Mtu akiachika anakuwa sio wife material??!?
Mlipokutana Buguruni mliongea nini badala ya kufahamiana kwa mambo ya msingi??!!

Ulichagua fungu naye akakupa nyongeza mteja wake. . . . .

Waliotangulia wameshindwa utaweza,labda kumzalisha mtoto mwingine,pia ujue mabinti huzalishwa kwa kiherehere chao na kutojitambua,,tena ujue hawezi kuwaacha waliozalisha
 
Waliotangulia wameshindwa utaweza,labda kumzalisha mtoto mwingine,pia ujue mabinti huzalishwa kwa kiherehere chao na kutojitambua,,tena ujue hawezi kuwaacha waliozalisha
Hivi dadako akiolewa na mtu mlevi mbwa, mnyanyasaji,anampiga, anamtukana yeye mpaka wazazi wako, hatunzi mke wala watoto utamuambia avumilie kisa akimuacha huyo mjjinga atakuwa sio wife material sababu kazaa naye??!!
 
Kila mwanaume ana mapungufu yake,atawaacha wangapi?mwisho wa siku ataachika kwa kudai mwanaume anapenda kugegeda kila muda na kila siku
 
kujibu vibaya kivipi??

wengine tunaingia JF kubishana na watetea la mfumo dume. its a way to get the word out and change things. sasa kama mtu atatafsiri kuwa ni "nimekata tamaa"........whatever makes you feel better about yourself.

bila kusahau wengine wapole wapole hujui ndo wako mawindoni?? alete stress zake online akose mume? hahaaa

Aiseee mbona nyie binadamu wa kike mnapigana na mungu yaan mi huwa nawasikitikia sana ety mtu huon hata haya kusema kuwa unapigana na mfumo wa mungu ambao nyie mmeubadilisha na kuuita mfumo dume lol badiliken jaman,muogopen mungu.,,,
 
Back
Top Bottom