Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Wanawake wenye tabia njema wako sana humu Jf

pia kuhsu wife material kila mtu anasifa zake so siwezi jua wwe unataka aweje lkn wanawake wenye kujielewa wako sana humu ndani

Kweli tupu
 
Wife material ina depend material gani unayotafuta tuseme uchukulie mwanamke kitambaa wewe unaeza ukawa unapenda cotton afu unakutana na Mie shifon lazima iwe tabu
Inakubidi upate kile kipendacho roho
 
wish to see the crazy side of you..havent seen it yet

Eeh kwa aliyenizoea hatosita kukwambia "I'm crazy and funny". Ila kama sijamzoea mtu basi huwa na - act tu cool, nisije nikaanza kujichekesha nikaishia kumkwaza mtu bure
 
Kumpata Wife Material Ni Wew Tuu Unavyojiweka.
hayo mapigo yako ya avatar unasukuma baiskeli natamani mod aniwekee button ya kulike takoni maana unatega sana niwe naclick hivyo avatar
 
Ivi TZ hii mtu unaweza pata mke kwny sosho media?
Mmmm, namie kuanzia kesho ntajaribu zari langu maana kitaa cku2 ya tatu usipopokea cm unaambiwa ishia zako ata km ulikua na sababu za kutopokea. Eee mola nataka mke mja wako
 
Wanavisa hawa! Ilimradi wachafue hali ya hewa hapa

ila si bure bwana kaka yamemkuta! nahisi! alitupa ndoano wakati wanafunzi wamefunga! wengi walikuwa wanafika jf kutembea! jamaa akapata div 5 akaangukia pua! leo anatuona wote tulio humu hatuna maana!
 
Hakunagaaa.
Hapa ni ufake tuu mpaka kieleweke...
Wew utapendaje id isiyo na jina kamili wala picha halisi ya mtu? Kama mbwai iwe mbwai umependa fake id na maisha tutakayoishi yatakuwa fake.
 
Wife material ina depend material gani unayotafuta tuseme uchukulie mwanamke kitambaa wewe unaeza ukawa unapenda cotton afu unakutana na Mie shifon lazima iwe tabu
Inakubidi upate kile kipendacho roho
tatizo hujui kama ni cotton au nini
 
Nimeshafika mamy.
Huyu Viol sijui ni nini kimemkumba.
Wife material wapo mtaani huko huku ni internet material ndipo tunapatikana.
Ujue mtu anaweza kuwa wife material kutokana na mazingira mliyokutana.
acha kuzingua,nyumbani tunatumia old version kwenye mitandao tunakuja kuupdate tuonje new version
 
Back
Top Bottom