Mwambie huyu wife materials wapo kibao kuanzia ex zako mpka the original wote ni wife material.....huyu kijana wako Viol atakuwa na matatatizo kidogo yamemsibu amevurugwa si bure embu mpeleke jando kidogo apate semina ya kuwa husband material.
i just used the phrase...i know u dont see.......u read through
So many learn and know how to fake their identities as well as their online activities.
Don't judge on everything, you might be misled.
I followed brother, i just played with words, and mind the context.
True dat. But i don't judge, i only notice class, taste, styles and graces, that's my forte. Can't buy, borrow, or fake those, homeboy.
hayo mapigo yako ya avatar unasukuma baiskeli natamani mod aniwekee button ya kulike takoni maana unatega sana niwe naclick hivyo avatar
Naamini waliopo jf ndo wale wale waliopo mtaani. Wapo wanaojitambua sana na wapo wenzangu na mimi, unfortunately huwezi kufanya conclusion kwa kupitia maandishi ya mtu. Kuna wengine kwa maandishi yao wanaonekana hawafai but maybe ukiwa naye karibu ndo utagundua her positive side. Wengine wana maandishi yakuvutia but ukiwajua kiundani ndo utajua weakness zao nyingine.
Mahusiano ya humu yanavyofail ndo na ya mtaani yanafail hivyo hivyo. Huwezi kujua mtu alivyo unless umekuwa naye kwa ukaribu zaidi. Kwa hiyo if you dated someone from jf na mahusiano yenu hayakudumu,.. basi ni yalishindwa coz mlishindwana kwenye baadhi ya mambo, unless alikucheat, basi Kila mmoja wenu ana mchango wake katika mahusiano yenu yaliyovunjika.
Naamini Hamna malaika humu, Kila mtu ana mapungufu yake, swali ni je utampata ambaye mtaweza kuchukuliana madhaifu yenu? Kama ambavyo unaomba huku mtaani kumpata mtu wa kuendana na wewe.
Nakusalimu tu.........
Hapana, tu watu wawili tofautiheaven sent na heaven earth n mtu mmojaa..?? maana nachanganyikiwa hapa....
Hapana, tu watu wawili tofauti
Unaona sasa majibu yako yalivyo makali wewe utakuwa si wife material.....hahahhahhaha!!!!.....uache majibu makali uwe wife material......
kumbe bhana ni mumy nimekwepa sana kumjibu nikasema huyu mwanaume kumjibu ni kama ukorofi mbona ana maneno malaini,ona sasa
Hahaha kumbe na huku unafikaga?! Shule zifunguliwe tu turudi kule kwetu bana. Uko poa lakini?
Mmmh..lakini kuna watu nahisi hii anonymity inawafanya wawe huru kupitiliza, at times nadhani wanaona sifa lakini kweli kwangu naona sio..wanabwatuka hadi.....khaaaa!
Tunafahamiana tu ndani ya jf, kwa nje hatufahamianibas majina yana fanana kwel.... ila mtakuwa na uhusiano either ndugu au friends. .?
Haaha acha tu tupotezee...wanajitia viburi...!!
noted..Eeh kwa aliyenizoea hatosita kukwambia "I'm crazy and funny". Ila kama sijamzoea mtu basi huwa na - act tu cool, nisije nikaanza kujichekesha nikaishia kumkwaza mtu bure