uminifanya nisite kukoment nilicho kuwa nakifikiria
Nitaisoma kesho, macho yanakumbatiana.
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume,wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bhana hamna kitu...Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.
UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF.
mkuu majanga gani yamekusibu? maanake hizi thread zako za hivi karibuni kama za kutoa ya moyoni vile...
Hukupaswa kufungua huu Uzi mkuu maana kwa % furani umepunguza imani kwa uliemtega.
Pole
In every general rule there is an exceptional.
Sio busara sana ku generalize hili tatizo!
kimsingi JF imebeba watu wa aina mbali mbali kuna wazinzi, walevi,madoct,walim, wachungaj,waheshmiw, wanafunzi nk! ni hivyo hivyo na wanawake tuliomo humu tunavyotofautiana! Sijui bwana kaka umetumia kigezo gani kusema hawapo Je ulikutana na wengi, majibu & comment pekee havitoshi kucome up na heading hiyo!
But all in all kuna dizine zote humu! kama ukienda porini usivyoweza kuona swala peke yake!
wish to see the crazy side of you..havent seen it yetNaamini waliopo jf ndo wale wale waliopo mtaani. Wapo wanaojitambua sana na wapo wenzangu na mimi, unfortunately huwezi kufanya conclusion kwa kupitia maandishi ya mtu. Kuna wengine kwa maandishi yao wanaonekana hawafai but maybe ukiwa naye karibu ndo utagundua her positive side. Wengine wana maandishi yakuvutia but ukiwajua kiundani ndo utajua weakness zao nyingine.
Mahusiano ya humu yanavyofail ndo na ya mtaani yanafail hivyo hivyo. Huwezi kujua mtu alivyo unless umekuwa naye kwa ukaribu zaidi. Kwa hiyo if you dated someone from jf na mahusiano yenu hayakudumu,.. basi ni yalishindwa coz mlishindwana kwenye baadhi ya mambo, unless alikucheat, basi Kila mmoja wenu ana mchango wake katika mahusiano yenu yaliyovunjika.
Naamini Hamna malaika humu, Kila mtu ana mapungufu yake, swali ni je utampata ambaye mtaweza kuchukuliana madhaifu yenu? Kama ambavyo unaomba huku mtaani kumpata mtu wa kuendana na wewe.
Wanawake wenye heshima zao wapo...Lakin kwa hivi vijanamke vinavyojifanya vijuaji,vitukanaji,vinahasira za kijingajinga,havitaki kukosolewa nina uhakika ni ndivyo walivyo katika uhalisia wao wa maisha.
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume,wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bhana hamna kitu...Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.
UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF.
Ha ha ha haa wako wataalamu watakuja kutoa shule ya "utegaji wa nyavu". . . .