Hahahaaaaaaaaa....ngoja nilale mie. baba naniliu njoo tulale mwaya
Loh!!! Si nimesahau hubby Eli79 katangulia chumbani....uwiiii!!!! Am sorry darling sitarudia tena.....usiku mwema atoto Khantwe Honey Faith Manga ML shemeji nitaomba alfajiri unisindikize USA tukaone mechi ya Barca na Man U.
Naona mpo kwenye happy hour!
Loh!!! Si nimesahau hubby Eli79 katangulia chumbani....uwiiii!!!! Am sorry darling sitarudia tena.....usiku mwema atoto Khantwe Honey Faith Manga ML shemeji nitaomba alfajiri unisindikize USA tukaone mechi ya Barca na Man U.
Watoto wote mameshaenda kulala
Hahahha!!!! That's right,as you wish darling,nimeumbwa kwaajili yako peke yako........Na tuwaage hawa watuache tulale. .......
Sasa tusaini ile comprehensive agreement yetu kabla hawajaamka.
Ayaaa nimechelewa
Hawa wa Jf si ndio tuko mtaani pia,
Btw sioni ukweli maana wengi huwa wanaishukuru Jf kwa kuwapatia wake wema
The one and only.
Hahahahhahaha!!!! Looh !!! Kweli mfa maji haachi kutapatapa...... Eli79 kweli we mtaam zaid ya mcharo na khantwe naye kaingia kwenye ligi?..... atoto wewe si una mume ni nini kumponda mume wa mwenzio.....unamtaka bado.....Kwa taarifa yako usitake ligi na mimi kabisa huyo bwanaako mwenyewe mhh!!! Kabet na mimi so saa yoyote naweza kukupindua nakuheshimu ujue nimekuhifadhi nakuchora tu hapa......
Haya nimefuta tatizo hunipendi siku hizi hata shem wangu unashindwa kunitambulisha vibaya hivyo
Nikimwamini pekeyangu yatosha
Asipo kuamini mimi natosha
Loh!!! Si nimesahau hubby Eli79 katangulia chumbani....uwiiii!!!! Am sorry darling sitarudia tena.....usiku mwema atoto Khantwe Honey Faith Manga ML shemeji nitaomba alfajiri unisindikize USA tukaone mechi ya Barca na Man U.
Wewe mwanamke acha kudanganya uma wewe,kutokana na data zetu huyu ulienae sasa hivi ni wa tisa!
..........nimetulia tuliiiiiii km maji ya mtungini, he is the one and only, km kwako nilipita alafu nikachepuka basi kaa chini ujitafakari sn maana ujue ulikuwa na booonge la tatizo. Teh teh teh.