Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
We futa kauli!! Mie sijawahi gombea mume, huwa nagombaniwa tu!!
Mume ninaye wangu peke yangu, husband wa dunia Manga ML, huyo ndio shemeji yako wa ukweli na uhakika.
Haya nimefuta tatizo hunipendi siku hizi hata shem wangu unashindwa kunitambulisha vibaya hivyo
Last edited by a moderator: