Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Wewe ndo utakua na matatizo sio mke wangu atoto

Kabisa baby, wao ndio wana matatizo, tena stress zao wasimalizie kwangu, alafu hawaoni aibu kumuongelea mke wa mwanaume mwenzao!!
 
Last edited by a moderator:
Mtachonga sana wala hata 0.00000000001 haijapungua hahahhahahahhaahha mavi ya kale hayanuki ati!!!!!!!!........

Yatanukaje sasa na yalishakauka mpaka yakachanganyika na udongo!!! Kujipa moyo siku moja moja nako kunasaidiaga ujue.
 
Ntuzu si wangu ati ni wako ni darling friend kaka katika Bwana.........kumbe biti zote ulizonipiga nawe ulikuwa mshika pembe tu......

Hahahaaa katika Bwana eeh? Huyuhuyu nimjuaye mimi au na nyie mnaye wa kwenu?
 
Wapi...maneno ya mkosaji

Hahahahhahaha!!!! Looh !!! Kweli mfa maji haachi kutapatapa...... Eli79 kweli we mtaam zaid ya mcharo na khantwe naye kaingia kwenye ligi?..... atoto wewe si una mume ni nini kumponda mume wa mwenzio.....unamtaka bado.....Kwa taarifa yako usitake ligi na mimi kabisa huyo bwanaako mwenyewe mhh!!! Kabet na mimi so saa yoyote naweza kukupindua nakuheshimu ujue nimekuhifadhi nakuchora tu hapa......
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sasa haka ka atoto kataanza kutumia maji ya uvuguvugu..nilijipndoa mda tu mbona, kama nilivyojiondoa kwako baada ya ile foleni..

Nimerudi kitambo hayo maji hayana kazi tena
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahaha!!!! Looh !!! Kweli mfa maji haachi kutapatapa...... Eli79 kweli we mtaam zaid ya mcharo na khantwe naye kaingia kwenye ligi?..... atoto wewe si una mume ni nini kumponda mume wa mwenzio.....unamtaka bado.....Kwa taarifa yako usitake ligi na mimi kabisa huyo bwanaako mwenyewe mhh!!! Kabet na mimi so saa yoyote naweza kukupindua nakuheshimu ujue nimekuhifadhi nakuchora tu hapa......
Ligi???? mimi nakuonea huruma wewe maana soon utamwagwa
 
Back
Top Bottom