Teh teh teh teh! No wonder wamwagwa kila siku! Kumbe hiyo ndio sababu, huko USA utakusikia tu kwenye bomba mama, vp kwani eli hana uwezo wa kukupeleka?? Pole sana.
Tehetehe mume wangu kila Idara amekamilika ila huwa anajua kwamba Variety is a spice of life .......hana shida tunaminiana na tunaheshimiana.
We huna akili kabisa mpaka binti aje hujf awe na member unamfikiriaje huyo kaoe ngoreme hukoAsilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume.
Wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bana hamna kitu.Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.
UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF
Filmeeeeeeee!!
Namuamini sana kishtobe wangu. Naweza muacha aende popote. Tunaaminiana...
Tehetehe mume wangu kila Idara amekamilika ila huwa anajua kwamba Variety is a spice of life .......hana shida tunaminiana na tunaheshimiana.
I love you more.
Teh teh wivu?? for what?? Nnavyopewa malovee hapa huo muda wa kuona wivu nautoa wapi kwa mfano
Teh teh wivu?? for what?? Nnavyopewa malovee hapa huo muda wa kuona wivu nautoa wapi kwa mfano
Duuuuuuuu hiii kweri heshima