Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Last edited by a moderator:
Ivi mtu yeye kama sio husband material ni rahis kujua wife material??
 
Hahahahhahaha!!!! Looh !!! Kweli mfa maji haachi kutapatapa...... Eli79 kweli we mtaam zaid ya mcharo na khantwe naye kaingia kwenye ligi?..... atoto wewe si una mume ni nini kumponda mume wa mwenzio.....unamtaka bado.....Kwa taarifa yako usitake ligi na mimi kabisa huyo bwanaako mwenyewe mhh!!! Kabet na mimi so saa yoyote naweza kukupindua nakuheshimu ujue nimekuhifadhi nakuchora tu hapa......

Hahahaaaaa!! Mama sasa hapo anayetapatapa ni nani?? Hebu jiulize kwanza, ooooh kumbe ndivyo unavyojipa moyo!!! Okey pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Loh!!! Si nimesahau hubby Eli79 katangulia chumbani....uwiiii!!!! Am sorry darling sitarudia tena.....usiku mwema atoto Khantwe Honey Faith Manga ML shemeji nitaomba alfajiri unisindikize USA tukaone mechi ya Barca na Man U.

Teh teh teh teh! No wonder wamwagwa kila siku! Kumbe hiyo ndio sababu, huko USA utakusikia tu kwenye bomba mama, vp kwani eli hana uwezo wa kukupeleka?? Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwanamke acha kudanganya uma wewe,kutokana na data zetu huyu ulienae sasa hivi ni wa tisa!

Data zenu na nani? Alafu mbona unanifuata fuata sana km nzi wa machinjioni!!!?? Hata angekuwa wa 100000 ila huyu sasa ndio kubwa la maadui, yaani nilikopita kote ni kwa vimeo hapa sasa ndio tulizo la moyo wangu, nimetulia tuliiiiiii km maji ya mtungini, he is the one and only, km kwako nilipita alafu nikachepuka basi kaa chini ujitafakari sn maana ujue ulikuwa na booonge la tatizo. Teh teh teh.
 
..........‘‘nimetulia tuliiiiiii km maji ya mtungini, he is the one and only, km kwako nilipita alafu nikachepuka basi kaa chini ujitafakari sn maana ujue ulikuwa na booonge la tatizo. Teh teh teh’’.

Ngoja nitunze hii comment yako kwenye hard disc yangu vizuri kabisa niangalie kama kweli atakuwa ‘he is the one and only one' kama ulivyosema,time will tell the truth!!....Maneno yako yatakufunga tu,mchepukaji mashuhuri kama wewe huwezi kusema kitu kama hicho!!
 
Humu ni viburudisho tu,hakuna wife material humu!Akili zilishanajisiwa na mambo machafu ya mitandao!Usijaribu kabisa kutafuta mke hapa ni eneo hatarishi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom