Usiniambie kwangu ulishajiondoa....mbona hukuaga wakati unapokuja ulibisha hodi?
Kwani huwa tukiondoka tunaaga! Teh....nimejiondoa hadi upinguze mtandao wako na vile vijamaa, hata hivyo naanza kutembea njia kuu sasa...
Kwani huwa tukiondoka tunaaga! Teh....nimejiondoa hadi upinguze mtandao wako na vile vijamaa, hata hivyo naanza kutembea njia kuu sasa...
Inatosha sasa naomba tukalale ,nina zawadi yako nataka nikupatie,wewe tu na si mwingine, nipo kwaajili yako,tafadhali mpenz wa moyo wangu tuondoke zetu......
Nimefurahi sasa haka ka atoto kataanza kutumia maji ya uvuguvugu..nilijipndoa mda tu mbona, kama nilivyojiondoa kwako baada ya ile foleni..
:sick::sick:
Sick for what? Hiyo ni kweli.... Eli79 please i want to be by your side this night let's go......
Mbona siwaelewi jamani?Nani ni wa halali?Na nyie si kila mtu ana mume?
:sick::sick:
Nikitaka mwenye mwiko akujibu, usiumwe bwana, huyu bibie anajua kutumia mwiko wangu balaa..
Nakusubiri baby, Lala na BBC ndio kufuatacho..
Hahahha!!!! That's right,as you wish darling,nimeumbwa kwaajili yako peke yako........Na tuwaage hawa watuache tulale. .......