Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Hawezi kujibu swali hilo atoto, amechanganya kila rangi, size...oooh Manga ML ana kazi, wax alishaamua kumwaga mboga

Wivu at its best, Manga ML pekee ndio anaijua ladha yangu, wengine mliishia kula kwa macho tu, sasa roho zinawawashaaaaaa! Na bado.
 
Last edited by a moderator:
Gundu na wewe ndo unampotosha? aliponiacha mimi akaenda kwa everlenk ulimsapoti sasa hivi hata huyo umemnyakua....nampa pole sana

Amemnyakua au kajinyakua!! Anapigwa vibuti vya hadharani kila siku ila yumo tu, soko limeshuka hivyo hana budi kung'ang'ania hapo angalau naye ajipe moyo.
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi umemuacha Ntuzu? ungeendelea nae tu coz mi niliamua kukuachia

Ntuzu si wangu ati ni wako ni darling friend kaka katika Bwana.........kumbe biti zote ulizonipiga nawe ulikuwa mshika pembe tu......
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Chungu kaona vivuno maana sio kivuno.

Mtachonga sana wala hata 0.00000000001 haijapungua hahahhahahahhaahha mavi ya kale hayanuki ati!!!!!!!!........
 
Back
Top Bottom