OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
hawa wanao complain yamewakuta na ushamba wao ndio umewaponza.
ዘow do u start proposing someone u don't know in the name of marriage?.
yee nyanya we kitunguu mmekutana kwenye sufuria! Hao tu mnaotongozana live mnashindwana hamuwezani sembuse wa kukutana huku?
Haina formula hii kitu. . . . mkikutana mkaamua kila mmoja ajirekebishe mtaweza ila kila mtu akikomaa na "mi ndio nilivyo". . . . . hata mkienda kuishi mbinguni itachanika tu