Hivi Jasusi la Mbinguni Gwajima alionekana kwenye video ya waumini wake waliosali barabarani?

Hivi Jasusi la Mbinguni Gwajima alionekana kwenye video ya waumini wake waliosali barabarani?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Aloooh Mwamba anajikubali sana, siku zote ukiwa unasimamia haki au ukweli na una vidhibitisho huwezi kuogopa ukiwa na Imani, achana na wale machawa wanaojificha kwenye dini kumbe hawana lolote.

 
Wao ndio wanaongoza katiba na siyo kuongoza chini ya katiba, kamwe dhuluma haziwezi kuisha
 
MWENYEZI MUNGU aipige hii serikali parapanda ilie tu bhana
 
Screenshot_2025-06-09-22-38-18-570_com.android.chrome.jpg
IMG_20250609_223726.jpg
 
Back
Top Bottom