Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

Facebook ni sehemu ya kuflirt tu. Eventually mnakutanisha vikojoleo vyenu.
Chukua hatua mapema mdau wangu! Usijekuta washakutanisha vikojeo.

Umeona eee??? Hata mimi nimehsalishtukia hilo ndo maana nikachukua tahadhari mapema kabla ya hatari
 
Mimi huwa sipendi shida huwa sikagui simu yake,sina haja ya kusoma email zake as long as najua hata wakimbandua hawaondoki nayo...presha ya nini bwana?
 
Hawana mapenzi ya kweli kwasababu,wanaume wengi kama si wote hatuwezi kuwafikisha kileleni,kwani hujawahi kuona wanawake wanavyohonga wanaume?hiyo yote ni ufanisi ndio unasababisha aongwe mtu!!
 
Na akikuletea maradhi je? basi inaelekea wewe humpeni mpenzi wako
 
Hawana mapenzi ya kweli kwasababu,wanaume wengi kama si wote hatuwezi kuwafikisha kileleni,kwani hujawahi kuona wanawake wanavyohonga wanaume?hiyo yote ni ufanisi ndio unasababisha aongwe mtu!!

Sio wote mkuu wengine ni tamaa, tabia zao na shauku ya kutaka kujua kila ndio inayopelekea wao kufanya hivyo. think positively kijana
 
Dah pole sana kijana kwa matatiz...Lkn n vema huyo mwanamke uachane nae kwan atakuletea matatizo
 
Nyie hili neno mpenzi linawadanganya sana, "mpenzi" wako kwani umemuoa huyo? ikiwa kaweza kukuvulia wewe nje ya ndoa kwanini ashindwe kwa wengine? kwani wewe una cha ajabu zaidi kipi? au kama wewe umeweza kumvulia nguo yeye nje ya ndoa kwanini ushindwe kwa mwingine?

Hili neno mpenzi na mapenzi ndio linazidisha ukimwi duniani. Wacheni, anzeni kuongea mke, mume, tendo la ndoa.

Wewe ulianzaga kutoa wakati upo kwenye ndoa??Acha ujinga wewe
 
Pole sana kwa problem iliyokupata, Mimi nipo kwenye the same situation maana wa kwangu yeye ameona nampenda sana mpaka ananionyesha attitude mbaya sana hata nimwambie kitu hanisikilizi, hanielewi kabisa yaani anachukulia kitu kawaida, kwa vile na wasiliana na family yake vitu kama hivyo, so nateseka now na tuliplan soon tuwe mke na mume ila nimeshagundua mapema so nimeongea nae tabia yako sipendi haelewi, na ilikuwa mimi ndio wa kumtafuta kila siku ila nilichofanya ni kitu simple tu, nimepata mwanamke mwingine mzuri sana kumzidi na ananisikiliza na na jifeel nipo kwenye relationship so mkuu hawa wanawake wakitendwa sisi ndio tunaonekana tuna makosa na wakipendwa wanachukua advantage so piga chini tafuta mwingine, kama nilivyofanya wala usilembe kaka..why uwe na stress wakati wapo wengi sana
 
Wa kwanza umepiga chini? Au bado unaenda nae mdogo mdogo.
 
Hawana mapenzi ya kweli kwasababu,wanaume wengi kama si wote hatuwezi kuwafikisha kileleni,kwani hujawahi kuona wanawake wanavyohonga wanaume?hiyo yote ni ufanisi ndio unasababisha aongwe mtu!!

Una uhakika?
Mbona wenye ufanisi pia wanatendwa.
 
Pole sana kwa problem iliyokupata, Mimi nipo kwenye the same situation maana wa kwangu yeye ameona nampenda sana mpaka ananionyesha attitude mbaya sana hata nimwambie kitu hanisikilizi, hanielewi kabisa yaani anachukulia kitu kawaida, kwa vile na wasiliana na family yake vitu kama hivyo, so nateseka now na tuliplan soon tuwe mke na mume ila nimeshagundua mapema so nimeongea nae tabia yako sipendi haelewi, na ilikuwa mimi ndio wa kumtafuta kila siku ila nilichofanya ni kitu simple tu, nimepata mwanamke mwingine mzuri sana kumzidi na ananisikiliza na na jifeel nipo kwenye relationship so mkuu hawa wanawake wakitendwa sisi ndio tunaonekana tuna makosa na wakipendwa wanachukua advantage so piga chini tafuta mwingine, kama nilivyofanya wala usilembe kaka..why uwe na stress wakati wapo wengi sana

Usemayo ni kweli kabisa mkuu. Nashukuru kwa ushauri wako
 
Wa kwanza umepiga chini? Au bado unaenda nae mdogo mdogo.

Mkuu huyo naenda nae mdogo mdogo kwanza, naamini atabadilika akiona simshobokei tena, ndio hawa watu wanapendwa kufanyiwa hivi, ila akizingua nampiga chini tu kwanza sio kazi
 
Duh! haya bwana
 
lakini wanaume bwana mwanamke akiwahi kumsaliti anaona wanawake hawana mapenzi ya kweli lakini yeye akitangulia kumsaliti anaona ni haki yake kufanya hivyo na mnavyowatundika mimba na kuwakataa ndio mapenzi ya kweli.mambo pasu kwa pasu
 
Back
Top Bottom