Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

Kama hujaridhika na utetezi wake basi kila mtu achukue time yake, ila bado suala la mapenzi ya kweli ni tatizo la pandezote mbili si wanawake peke yao, lakini pia amesema hawezi kuishi bila wewe mwambie anaweza kuishi bilawewe kwani aliweza kabla hajakujua kwa uwezo wa kuishi bila wewe anao, mwambie asonge mbele.
 
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
 
Jamani wana JF nimekuja hapa kwenu kuwaeleza hili swala na pia kuomba ushauri wenu kutokana na hili sakata lililonikuta la kusalitiwa na mpenzi wangu.

Jana usiku wakati nikiwa nafanya kazi zangu mbali mbali niliamua kuingia katika mtandao wa facebook na kuhack account ya facebook ya mpenzi wangu ili kujua kama kweli ananipenda au napoteza mda wangu tu kumpenda mtu ambaye hapendeki. Niliamua kufanya hivyo baada ya kudanganywa password ya e-mail yake kipindi cha nyuma kwa kisingizio eti aliogopa kunipa e-mail yake kwa sababu eti aliwahi kumpa mpenzi wake wa nyuma e-mail yake na matokeo yake mpenzi wake akawa anaitumia e-mail yake kwa kumtuhumu makosa ambayo hajayatenda kwa hiyo aliogopa pengine na mimi ningemfanyia hivyo. Kwa jinsi nilivyompenda niliamua kumsamehe na kuendelea na uhusiano wetu kama kawaida.

Sasa baada ya kufanikiwa kuhack katika account yake ya facebook nilianza moja kwa moja kwa kukagua profile yake, kutizama picha zake na mwishoni niliingia katika inbox yake na kuanza kusoma message zake. Jamani message nilizozikuta huko sitaki hata kusema. I wish kama ningekuwa na uwezo ningewawekea hapa ili na nyinyi mzione. Nilipomueleza na kumtaka aniambie ni kwa nini ameamu kunifanyia hivyo na kuamua kunisaliti na wanaume wengine tena wa facebook akanijibu na kuniambia kuwa eti alifanya vile kwa sababu eti wanaume wote wapo kuumiza tu ila hakumaanisha kila alichokuwa anasema katika message za facebook pia akaniambia kuwa japo aliumizwa ila alipokutana na mimi alinipa moyo wake wote cuz alinipenda sana na aliamini kuwa niko tofauti na wanaume wengine ila kiukweli hana mwanaume mwingine zaidi yangu.

Kitu kingine nilichogundua ni kuwa huyo mpenzi wangu ana e-mail address ila mimi aliniambia e-mail address yake mmoja tu. Mimi nilihisi kuwa anazo mbili na baada ya kugundua hivyo nilimuuliza kuwa e-mail address ........ ni ya kwako??? akaniambia hapana na ya kwake ni hiyo aliyonipa kumbe hiyo e-mail ambayo alinificha ndiyo hiyo ambayo anaitumia facebook. Sasa leo baada ya kugundua hilo nilipomuuliza kwa nini alinidanganya kipindi kile alikana kabisa kuwa hakusema hivyo.

Kwa jinsi nilivyo kasirika na kuumia moyoni nimeamua kuchana naye ingawa kiukweli nilimpenda sana msichana huyu, nilimpa kitu kitu alichohitaji, nilimpa mapenzi yangu yote, nilimpa hata vile visivyohadithika lakini bado mtoto wa kike haonyeshi kuridhika kila mwanaume anataka awe wake. kama nilivyosema hapo mimi nimeamua kuchana na nimeshamtakia wazi ila yeye bado ananiomba msamaha anasema eti hawezi kuishi bila mimi. Nifanyeje jamani?

Kaka UMEHACK KWA STYLE GANI HIYO ACCOUNT YAKE...mimi pia ni victim wa suala kama lako.. Naungua ndani kwa ndani hadi nimekonda.. Simuelewi kabisa na hadi mahari nshatoa... Harusi haina dalili jinsi anavyoniendesha.. Nipe mchanganuo wa kuhack fb account yake coz nshaotea sana passeord yake nachemka
 
Kuna njia nyingi za kuhack facebook account lakini hapa nitakutajia moja tu nayo ni phishing
 
kaka kama unataka kujua kuwa huwez hata siku moja kujua mahitaj halis ya wanawake_ongea kwa muda wa kutosha na ndugu yako wa kike uliye karibu nae(hasa binamu) au chukua Changudoa halaf mpe heshima nzur uone atakavyokudadavulia mambo_kwa mfano huwez amin mwanamke hata awe na busara zisizopimika, mlokole, ustadhat n.k kwny mambo ya kujamiiana anaweza kuwa anahitaj vitu ambavyo hutaweza kudhan hata siku moja maishan mwako(kama oral, david cameron etc) na long long sex_mambo hayo na tamaa za kutambiana(usipokuwa na uwezo mzur) ni tabu_ndo maana kumekuwa na mfumko mkubwa wa makanisa na yote yanajaa(bcoz of social problems_hasa mapenzi) inakubid kumpeleka mwenzi wako akakemewe na kufundishwa kumuogopa Mungu na ndivyo nyumba nying zinavyo survive_lakin ktk mazingira ya kawaida sio rahis kumridhisha mwanamke_niliwah kukaa na mpenz 3yrs nikiamin everything was ok_siku moja shetan akanishika nikasema ebu ngoja nimjaribu na u_cameroon_ndg yangu ckuweza amin, alisema kama tungeanza tangu zaman asingenisalt asilan
 
Duh! Kweli dunia imeisha
 
Jamani ukimfuatilia mwanamke sana hutakaa na mwanamke hata siku moja. hawa watu wana matatizo mengi sana la msingi kama unampenda basi usimwache ila just tafuta mwingine na usijifiche na hakikisha anagundua alafu asijue ukweli kama ni simu mwambie awe anakupigia hasa wakati ukiwa naye. na usijaribu kumfuatilia hata kidogo. akikuuliza chukulia kila kitu easy. ukimuona na mwanaume just pita tu na kesho akija mchangamkie kama kwaida. nakwambia atakuogopa na ataacha mambo yake maramoja. hiyo ndo saikolojia ya wanawake/
 
kusameheana binadamu ni kawaida, mana hata wewe you are not perfect, angalia usiwe kila siku unaacha!!!
 
Jamani ukimfuatilia mwanamke sana hutakaa na mwanamke hata siku moja. hawa watu wana matatizo mengi sana la msingi kama unampenda basi usimwache ila just tafuta mwingine na usijifiche na hakikisha anagundua alafu asijue ukweli kama ni simu mwambie awe anakupigia hasa wakati ukiwa naye. na usijaribu kumfuatilia hata kidogo. akikuuliza chukulia kila kitu easy. ukimuona na mwanaume just pita tu na kesho akija mchangamkie kama kwaida. nakwambia atakuogopa na ataacha mambo yake maramoja. hiyo ndo saikolojia ya wanawake/

Alaaa!! Kumbeeeee!! Sikulijua hilo mkuu. Thanks kwa ushauri
 
Young Master kimsingi naona umeshachukua uamuzi na sijui ni ushauri unaotafuta hapa. Nakushauri ukue kwanza kabla ya kuruhusu kiumbe mwingine wa jinsia tofauti akuchanganye.
 
Kwani mimi ni mtoto?
 
Jamani wana JF nimekuja hapa kwenu kuwaeleza hili swala na pia kuomba ushauri wenu kutokana na hili sakata lililonikuta la kusalitiwa na mpenzi wangu.

Jana usiku wakati nikiwa nafanya kazi zangu mbali mbali niliamua kuingia katika mtandao wa facebook na kuhack account ya facebook ya mpenzi wangu ili kujua kama kweli ananipenda au napoteza mda wangu tu kumpenda mtu ambaye hapendeki. Niliamua kufanya hivyo baada ya kudanganywa password ya e-mail yake kipindi cha nyuma kwa kisingizio eti aliogopa kunipa e-mail yake kwa sababu eti aliwahi kumpa mpenzi wake wa nyuma e-mail yake na matokeo yake mpenzi wake akawa anaitumia e-mail yake kwa kumtuhumu makosa ambayo hajayatenda kwa hiyo aliogopa pengine na mimi ningemfanyia hivyo. Kwa jinsi nilivyompenda niliamua kumsamehe na kuendelea na uhusiano wetu kama kawaida.

Sasa baada ya kufanikiwa kuhack katika account yake ya facebook nilianza moja kwa moja kwa kukagua profile yake, kutizama picha zake na mwishoni niliingia katika inbox yake na kuanza kusoma message zake. Jamani message nilizozikuta huko sitaki hata kusema. I wish kama ningekuwa na uwezo ningewawekea hapa ili na nyinyi mzione. Nilipomueleza na kumtaka aniambie ni kwa nini ameamu kunifanyia hivyo na kuamua kunisaliti na wanaume wengine tena wa facebook akanijibu na kuniambia kuwa eti alifanya vile kwa sababu eti wanaume wote wapo kuumiza tu ila hakumaanisha kila alichokuwa anasema katika message za facebook pia akaniambia kuwa japo aliumizwa ila alipokutana na mimi alinipa moyo wake wote cuz alinipenda sana na aliamini kuwa niko tofauti na wanaume wengine ila kiukweli hana mwanaume mwingine zaidi yangu.

Kitu kingine nilichogundua ni kuwa huyo mpenzi wangu ana e-mail address ila mimi aliniambia e-mail address yake mmoja tu. Mimi nilihisi kuwa anazo mbili na baada ya kugundua hivyo nilimuuliza kuwa e-mail address ........ ni ya kwako??? akaniambia hapana na ya kwake ni hiyo aliyonipa kumbe hiyo e-mail ambayo alinificha ndiyo hiyo ambayo anaitumia facebook. Sasa leo baada ya kugundua hilo nilipomuuliza kwa nini alinidanganya kipindi kile alikana kabisa kuwa hakusema hivyo.

Kwa jinsi nilivyo kasirika na kuumia moyoni nimeamua kuchana naye ingawa kiukweli nilimpenda sana msichana huyu, nilimpa kitu kitu alichohitaji, nilimpa mapenzi yangu yote, nilimpa hata vile visivyohadithika lakini bado mtoto wa kike haonyeshi kuridhika kila mwanaume anataka awe wake. kama nilivyosema hapo mimi nimeamua kuchana na nimeshamtakia wazi ila yeye bado ananiomba msamaha anasema eti hawezi kuishi bila mimi. Nifanyeje jamani?

Pole sn kiongoz. Hawa dada zetu n shiiida
 
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla
 
Pole sn kiongoz. Hawa dada zetu n shiiida

yaani kuflirt na wanaume wengine ndio kisa cha kumuacha?
mie hata nikiolewa sitaacha kuflirt,unless umenikuta kitandani na mtu tunafanya mapenzi ndio nitakuelewa ukisema unaniacha sio upuuzi wa kusoma messages...............................

unahack vipi account facebook embu nifundishe nataka kuhack account ya mtu lol,am serious lol

Atae kuoa ww nampa pole sana
 
Mwanzoni sikuwa na lengo la kukagua kitu chochote kuhusu yeye. Yani tokea tumeanza uhusiano mpaka sasa sijawahi kusoma msg yake hata moja katika simu yake lakini baada ya kunidanganya password ya e-mail yake nikahisi kuna kitu ananificha nikaona bora nifuatilie nijue kinachoendelea

Hii inanikumbusha Ex Fiancé wangu .. Sikuwahi hata siku moja kufuatilia device yake until siku nilipogundua amenidanganya wakati there was no a reason or a point to do so... Hapo ndipo nikaanza Ku think something was fishing its just my Spirit was too heavy to take inn.. . But I didn't hack His account only I had to do was to submitted everything unto God .. By Fasts And Prayers.. Kwani ilichukua muda no dear .. God showed me , so many things I couldn't even imagine .. That's why I can't live without God .. Take everything away from me but leave Jesus for me oooh please. So dear mshukuru Mungu kwa kila jambo seek His Face and Kingdoms and everything else shall add unto You.. Remember this matter haitokei kwenu tuu nyinyi men Bali hata women pia wanapitia but we just don't say it kwa maana tumeumbwa na mioyo ya subira , uvumilivu na huruma. Funga na Maombi to get the right paths for your Destiny . Mtegemee Mungu naye atakupa your heart Desire .. amen. Good luck . Thanks..
 
Back
Top Bottom