Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Ha ha ha haaaa!!! Ukifanya mambo ya kipuuzi kama huyo mwanamke atakuhack kweli
uliona warning signals kabla au uliamua tu kuhack ujue kama yaliyomo yamo?
Ha ha ha haaaa!!! Ukifanya mambo ya kipuuzi kama huyo mwanamke atakuhack kweli
uliona warning signals kabla au uliamua tu kuhack ujue kama yaliyomo yamo?
Niliona warning signals ndo maana nikaamua kufanya hivyo
Mwanangu sepa tupa kule ukuzaliwa nae huyo dnt feel sorry 4her! Wanawake wapo wengi na tabia mbalimbali muhimu uvumilivu na subra utampata wa kweli na mwaminifu.kumbuka mwanaume auwezi kukosa mke ni vipaumbele vyako tu vitakukosesha.ila wao .....
Kwa jinsi nilivyo kasirika na kuumia moyoni nimeamua kuchana naye
orait, kwahiyo unataka kuanzisha mahusiano mapya?
mapenzi ni ishu complex sana..kakubali umwache?njia uliyochagua si mbaya hila itakuuma balaa.be strong na mvumilivu.
Mapenzi bwana........................... na uzee huu bado yananichanganya...................... na bora yaendelee kunichanganya hivyo hivyo, sitaki presha ya kuyaelewakwani wanamme wote wana mapenzi ya kweli?
Wahenga walisema'kwenye msafara wa mamba na kenge wako'
Tafakari, chukua hatua, haki mapenziiiii!
kumbe ndo maana umetafuta sababu? si ungeyaanzisha tu! anyway, all the best kwa hayo mahusiano mapyandio nataka kuanzisha uhusiano mpya
Pole...
kumbe ndo maana umetafuta sababu? si ungeyaanzisha tu! anyway, all the best kwa hayo mahusiano mapya
Mkuu tugawane basi hayo maujanja ya ku hack FB maana huo ndo mpango mzima
ndio nataka kuanzisha uhusiano mpya