Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

Kwanza kaka,POLE..2nd,ungeandika baadhi kwenye heading yako,not all women are like what you have experienced..
 
Nimesema wote kwa sababu sio mara ya kwanza jambo hili kunitokea

Bado haijakupa the right ya kugeneralize...as much as we are trying to feel your pain,dont put all of us in the same group..hata kama umekutana na 100,we r billions!.
 
Sawa mama nimekuelewa. Am sorry. Ni hasira tu. next time sitorudia tena. AM sorry
 
why don you flirt with ya lover its a shame bana.....kaa ukijua hivyo imagine one of those people unao flirt nao accedentally kumbe ni friend angu pasipo we kujua siku moja ananisimulia ...oooh kuna demu fulani na flirt nae kwa fb daaah anajua huyo....alafu anakutaja jina kumbe ni demu wa mwana wake...is it sounding goog????utadhahaurika kwa mtu wako na kwa rafiki zake pia ambao ni shemeji zako....funguka chukua hatua usitetete mambo ya kipuuzi
 
Nani anatetea mambo ya kipuuzi?
 
Umejitakia mwenyewe kaka, kwanini uhack account ya mwenzio huoini kama unamwingilia kwenye privacy zake.
 
Nimejitakia nini wakati huyo ni mpenzi wangu?? Na sababu kuu iliyonifanya nihack ni kwa sababu alianza kunidanganya tokea mwanzo. Nikahisi kuwa pengine kuwa kitu anakifanya ambaho mimi sikijui ndipo nilipoamua kuchukua uamuzi wa kumchunguza
 
Umejitakia mwenyewe kaka, kwanini uhack account ya mwenzio huoini kama unamwingilia kwenye privacy zake.

seriously speaking, haya maswali ya emails, fb accounts etc yanapaswa kubaki kuwa private matters labda kama mpenzi wako kwa hiyari yake mwenyewe ataamua kukushirikisha... in any case, kuwa ndani ya relationship hakumuondolei yeyote kati yenu haki yake ya kuwa na individual privacy
 
Facebook ni sehemu ya kuflirt tu. Eventually mnakutanisha vikojoleo vyenu.
Chukua hatua mapema mdau wangu! Usijekuta washakutanisha vikojeo.
 
Back
Top Bottom