Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

kwani wanamme wote wana mapenzi ya kweli?

Wahenga walisema'kwenye msafara wa mamba na kenge wako'

Tafakari, chukua hatua, haki mapenziiiii!
Ni mjinga pekee ndo hulipa ubaya kwa ubaya.Huwezi kumfumania mkeo halafu ukaamua kulipiza kwa kutembea na mwanamke mwingine,unajimaliza mwenyewe kama pweza anayekumbatia makaa ya moto.
 
Ni mjinga pekee ndo hulipa ubaya kwa ubaya.Huwezi kumfumania mkeo halafu ukaamua kulipiza kwa kutembea na mwanamke mwingine,unajimaliza mwenyewe kama pweza anayekumbatia makaa ya moto.

Usemayo ni kweli kabisa mkuu
 
Ni bora umegundua mapema kwamba hamwezi endana
hasa kama ulikuwa na matarajio ya mahusiano ya muda mrefu.

Akunyimaye mbaazi kakupunguzia ukimwi
na presha za bure.

Na bora nimegundua mapema maana kama ningekuja kugundua haya wakati nipo kwenye ndoa sio siri ningekufa kwa ugonjwa wa moyo
 
kwani mimi ndo nimesema hivyo?
Nimesema alipize?

Ni mjinga pekee ndo hulipa ubaya kwa ubaya.Huwezi kumfumania mkeo halafu ukaamua kulipiza kwa kutembea na mwanamke mwingine,unajimaliza mwenyewe kama pweza anayekumbatia makaa ya moto.
 
kumbe ulitaka afanye nini zaidi ya kujirusha?

Wewe achana nae huyo! Utakufa kwa presha bure! Hata mimi nakwambia ukweli toka moyoni nimeumizwa wiki hii hii! Huweziamini nimekonda kwa siku2 tu! Kula kwa taabu mawazo kibaao mwenzako anajirusha tu! Piga chini!
 
Ukitaka kuachana na mpenzio/mumeo we anza kupekenyua simu na sijui e-mail na madudu gani sijui. Wengi wanaofanyaga hivyo huwa wameshachoka kuishi na wapenzi wao na hivyo wanatafuta chanzo cha kulianzisha ili kieleweke. N kweli ndugu umekipata ulichokuwa ukikitafuta.
 
Ni mawazo yako tu mkuu lakini sivyo unavyofikiria
 
Nyie wote wala hamtofautiani!mwanaume yoyote anaejiamin hawezi kurist mahusiano yake kwa kufatilia maupuuzi ya huko fb,na mwanamke makini hawezi kuendekeza kuchati na vivulana vya huko fb!mkikua mtaacha!katafute mpya ila ujiandae kukumbana na vituko vyake ambavyo huvijui!
 
Pole sana, unajua waschana wengine hawajui kupendwa wala thamani ya penzi,yani anakusaliti ww unaemjali na kumpenda au kulikua na vita flani ulikua hutimizi Namanisha kweli ulimwengu wa huba? Haya Kama umeamua nibora usikilize Moyo wako na usijali sana mungu atakupa mwenye kheir na weye...
 
Hasira hasara mkuu! Jipe muda kwanza wa kutafakari na yeye mwenyewe akupe some more details, usichukulie kitu haraka namna hiyo....tuliza akili ndugu uamue kwa uhakika!!
 
Amen. Nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Hasira hasara mkuu! Jipe muda kwanza wa kutafakari na yeye mwenyewe akupe some more details, usichukulie kitu haraka namna hiyo....tuliza akili ndugu uamue kwa uhakika!!

Usemayo ni kweli kabisa lakini kuna haja gani kutafakari wakati ukweli wote unaonekana? Ndhani kama wewe ngejionea hizo msg mwenyewe ungenionea huruma
 
Nyie hili neno mpenzi linawadanganya sana, "mpenzi" wako kwani umemuoa huyo? ikiwa kaweza kukuvulia wewe nje ya ndoa kwanini ashindwe kwa wengine? kwani wewe una cha ajabu zaidi kipi? au kama wewe umeweza kumvulia nguo yeye nje ya ndoa kwanini ushindwe kwa mwingine?

Hili neno mpenzi na mapenzi ndio linazidisha ukimwi duniani. Wacheni, anzeni kuongea mke, mume, tendo la ndoa.
 
Nyie hili neno mpenzi linawadanganya sana, "mpenzi" wako kwani umeuoa huyo? ikiwa kaweza kukuvulia wewe nje ya ndoaa kwanini ashindwe kwa wengine? kwani wewe una cha ajabu zaidi kipi? au kama wewe umeweza kmvulia nguo yeye nje ya ndoa kwanini ushindwe kwa mwingine?

Hili neno mpenzi na mapenzi ndio linazidisha ukimwi duniani. Wacheni, anzeni kuongea mke, mume, tendo la ndoa.

Mhmm! haya mama nashukuru kwa ushauri wako
 
Sasa huyo ni WANAWAKE au MWANAMKE?

Nwy pole kama wewe nae hujawahi kuflirt na watu wengine wakati ukiwa kwenye mahusiano nae.

Nafikiri huyo ni cha mtoto, angehack za wengine angepata stroke na coma juu....maneno tu hakuna hata matendo....lol

Msamehe huyo dada na wapo wanawake wengi wamekata tamaa ya kupata wanaume waaminifu na matokeo yake hadi akuamini sana ndo atatuliza moyo,akili,mwili na roho yake kwako.....utaacha wengi kwa mwendo huo wa ku-hack!
 
Back
Top Bottom