Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,025
- 2,443
Akizidiwa asisahau ndom.Shida yako vipindi vikiisha na ww unasepa! Tulia tulia chill na wadau vimbwetani shiriki events za chuoni usijitenge sana.
Jitahidi uwe na demu chuo mda wa kua free ni mwingi sana, utakufa na upwiru kijana
Mtaji wa kwanza ni afyaAkizidiwa asisahau ndom.
Serious bro! Kama mpaka sasa hv, hujajua madhara ya ngono nje ya ndoa, basi kuna shida,Habari wanajf,
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend. 😊.
Sasa hapa ni aidha nianze kuwa mtongozaji kama jamaa wengine au niishi maisha yangu bila kujali mahusiano.
Nipo kupokea mawazo yenu wakuu.
wewe dogo Una nini cha maana hadi utongozweHabari wanajf,
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend. 😊.
Sasa hapa ni aidha nianze kuwa mtongozaji kama jamaa wengine au niishi maisha yangu bila kujali mahusiano.
Nipo kupokea mawazo yenu wakuu.
Hakika afya njema ni mtaji tosha.Mtaji wa kwanza ni afya
Sema kweli babuu,Ndiyo inawezekana. Miaka minne chuo nilitoka ubao unasoma bila bila!
Nilipo kuwa chuo sikuwahi kudate na wanafunzi wenzangu zaidi ya wanakijiji na mimba juu
Kua smart tu
Tafuta manukato safi
Vaa code za kueleweka
Tunza vi hela hela usitumie kama fuko
Changamka uwe una maneno kidogo
Ukitoka kapa hadi hapo ndugu tafuta msaada wa kiuanasheria