Hivi inakuwaje.....................

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,563
Wapenzi hamjamboni?

Hivi inakuwaje jamani hata tukakumbuka yale tuloyatapika, tena watapika huku umeziba pua kwa kinyaa, ilihali matapishi hayo yatokea ndani yako????

Nawaza tu kwa sauti.........mwe haya mapenzi ni kizungumkuti kwa kweli!!
Weekend hii nimekutana na wimbo wa taarabu wenye ujumbe huu.......

Lilokushinda kulila bora silitie hilaaaa!!! ..................
Kama ulisusa. basi mwenzio ala......................X 2

Nilikuwa wako, ukashinda kunitunza,
nimempata mwenzako namliwaza X2
Sio siri anafaidi tena nampa raha halisi X2

Beti ya Kwanza
Ulinidharau ukaniona, si wa maana kwa uwezo wako;
Ukasahau wazuri wako wengi sana wa zaidi yako X2
Nimempata muungwana anayenijali mie,
mapenzi yake dhamana twaheshimiana sie X 2

Nilichosahau sina, sitorudi kwako wewe
Usipite kutukana umeyatupa mwenyewe X2

Chorus: Maneno ya mkosaji, ya mkosajii, Hayanikoseshi raha ya kunywa majiX 2

Niko naye mpenzi yeye amenisitiri, yeye amenisitiri kwa mapenzi motomoto
Sitaki mwingine, yeye ananipa vitu kikubwa si vya kitoto

Choyo,wivu usione umeitupa bahati, umeitupa bahati tena usitutie joto!


Beti ya Pili
Ulisema wa ninni mwenzio kaniweka ndani namliwaza
Wangu mwandani anajua penzi nini ananidekeza X2
Kama wewe ulisusa, albabu anakula
Ndo mana natajasa nafaidi kwa muala X 2
Anayajulia hasa kwa mapenzi mashaala
hubaze zaningarisha nami simtupi wala X 2

Chorus: Maneno ya mkosaji, Hayanikoseshi raha za jiji..........................


Beti ya Tatu:
Usisikitike ameniwezesha yeye niwe na mvuto
Usimahanike ukiniona niko naye hatutaki joto X2
Usininange mshirika yalopita yamepita
hukuweza kuniweka matunzo X 2
Kwa huyu nathaminika ndo kaona natakata
kupeana vya baraka, kwetu hakuna matata X2

Chorus.......Maneno ya mkosaji, hayanikoseshi raha kufaidi...X 2
Hivi inakuwaje hasa, maana ulilitema mwenyewe then after a while anataka tena?? Nini hasa kiloongezeka?
 
Hahaaaaaaaa MJI bwana huwa tunatapika wakati tumeshiba,njaa ikirudi tunakumbuka tena wapi tulipopata mlo uliotushibisha.

Huwezi jua thamani ya kitu mpaka umekipoteza darling!
 
Mwanajamii 1,

Duh una kipaji.............hapa lazima uwe mkali wa Taarabu tu,sikujua.

Maybe he's changed,maybe not.You've gotta really watch out.If its true action speaks louder than words,then u should watch out for the sincerity of his actions.Time would tell whether his intentions are genuine,so don't have your hopes high.Besides you shouldn't give the impression that you are like some fallow land that he can leave and come back to at will

Most guys believe in one silly law termed 'Uroho wa Fisi's law' which says and i quote "once there,always there". hope you know what the there stands for. Guys sorry for leaking the law
 
Kigeu geu....hukitaki ukiwa nacho ila ukiona kwamba mwingine anaweza kitaka/kitamani na kukichukua unataka urudishiwe.

Ubinafsi....wakati anakusema hufai anafanya vile kujifurahisha kwa kukufanya wewe ujione duni na sio kweli anavyokuona.Ndio maana anapoona mtu mwingine anafaidi anarudi mbio kulia “nimekosa...nimekosa.“

Uroho....sikutaki pia nakutaka.Hawa ndo wale wanataka raha ya kuangalia chakula na kukila pia...kitu ambacho huwezi kuwa navyo viwili moja kwa moja....na kuchagua kimoja hawawezi.

Unyanyasaji....furaha yake inatokana na kuwafanya watu wengine waamini/wajione wao sio kitu.Anakuondolea/punguza kujiamini kwako ili uwe “Mwindwaji“ mzuri.Unakua sehemu ya mchezo aupendao...akitaka kufurahi anakutapika...siku akiona vipi anakuweka mdomoni na sio anakumeza.Hapa kazi inabaki weka mdomoni...tema...weka..tema ikiwa utakubali kufanywa hivyo.


Kusema ukweli binadamu wengi kama sio wote tumeumbwa na roho ya wivu bila kuacha kigeu geu.Leo hii kuna mtu anaweza kutupa ndoo asioipenda sana kwasababu imepasuka ila kesho akimuona nayo jirani yake anavyoifurahia vaada ya kuichomea karoho kanamuuma na kutamani kwenda kudai ‘ndoo yake‘. Hivyo hivyo kwa wapenzi wakati mwingine mmoja anaweza kumuona mwenzake sio ‘hadhi yake‘...‘mchovu‘...‘mshamba‘...‘amefulia‘ n.k akamwacha kwa sababu hizo ila ikitokea yule mpenzi akakutana na mtu mwingine ambaye yeye ataenda mbali na kujaribu kumuinua na akabadilisha hayo/hicho kilichofanya aaachwe mwanzo lazima yule aliyeacha atamtamani huyu ex-mpenzi alikua upgraded na kuumwa roho kwamba “uzuri wote ule anafaidi/atafaidi mwenzangu?!SITAKI KABISA“ Na ndio hapo usumbufu unapoanza maana all of the sudden unaonekana u-bora na sio choka mbaya anymore.
 
Wapenzi hamjamboni?

Hivi inakuwaje jamani hata tukakumbuka yale tuloyatapika, tena watapika huku umeziba pua kwa kinyaa, ilihali matapishi hayo yatokea ndani yako????

Nawaza tu kwa sauti.........mwe haya mapenzi ni kizungumkuti kwa kweli!!
Weekend hii nimekutana na wimbo wa taarabu wenye ujumbe huu.......

Hivi inakuwaje hasa, maana ulilitema mwenyewe then after a while anataka tena?? Nini hasa kiloongezeka?
eehh, umenikumbusha msemo wa "kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa..."

a518e_funny-pictures-cat-watches-fish-in-toilet.jpg


"huwezi jua thamani ya mtu mpaka umpoteze...!"
 
eehh, umenikumbusha msemo wa "kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa..."

a518e_funny-pictures-cat-watches-fish-in-toilet.jpg


"huwezi jua thamani ya mtu mpaka umpoteze...!"


hahahahaha lol! Nilikuwa najiuliza Mbu leo vipi!? :) mbona hayuko katika hii "sredi"? :) basi nilipokuona nikabaki na tabasamu kubwa sana :) Jioni njema Mkubwa.

 
Last edited by a moderator:
[/FONT][/SIZE]
....ha ha ha, Bro BaK ulifikiri nishatemwa nini? LOL![/FONT][/SIZE]

Hapana mkubwa nilihisi labda "umetingwa" tu :) Mbu atemwe!!! thubutu! hahahahahah lol!

Usiku mwema Mkuu :)



Remember those walls I built
Well, baby they're tumbling down
And they didn't even put up a fight
They didn't even make up a sound

I found a way to let you in
But I never really had a doubt
Standing in the light of your halo
I got my angel now

It's like I've been awakened
Every rule I had you breakin'
It's the risk that I'm takin'
I ain't never gonna shut you out

Everywhere I'm looking now
I'm surrounded by your embrace
Baby I can see your halo
You know you're my saving grace

You're everything I need and more
It's written all over your face
Baby I can feel your halo
Pray it won't fade away

I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo
I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo

Hit me like a ray of sun
Burning through my darkest night
You're the only one that I want
Think I'm addicted to your light

I swore I'd never fall again
But this don't even feel like falling
Gravity can't forget
To pull me back to the ground again

Feels like I've been awakened
Every rule I had you breakin'

The risk that I'm takin'
I'm never gonna shut you out

Everywhere I'm looking now
I'm surrounded by your embrace
Baby I can see your halo
You know you're my saving grace

You're everything I need and more
It's written all over your face
Baby I can feel your halo
Pray it won't fade away

I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo
I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo

I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo
I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo
Halo, halo

Everywhere I'm looking now
I'm surrounded by your embrace
Baby I can see your halo
You know you're my saving grace

You're everything I need and more
It's written all over your face
Baby I can feel your halo
Pray it won't fade away

I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo
I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo

I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo
I can feel your halo halo halo
I can see your halo halo halo





 
Last edited by a moderator:
Grass is Always Greener on the Other Side....., lakini ukifika huko unagundua kwamba Aint no Sunshine When She is Gone...

In short watu huwa tuna-concentrate on the negatives za mtu kwahiyo tunatafuta perfect partner tunajikuta tunaruka majivu tunakanyaga moto.. kwahiyo tukishamwacha mtu na kukutana na negatives za kule tunaanza kukumbuka positives tulizoziacha, na mara nyingi tukirudi the cycle inajirudia
 
Wapenzi hamjamboni?

Hivi inakuwaje jamani hata tukakumbuka yale tuloyatapika, tena watapika huku umeziba pua kwa kinyaa, ilihali matapishi hayo yatokea ndani yako????

Nawaza tu kwa sauti.........mwe haya mapenzi ni kizungumkuti kwa kweli!!
Weekend hii nimekutana na wimbo wa taarabu wenye ujumbe huu.......

Hivi inakuwaje hasa, maana ulilitema mwenyewe then after a while anataka tena?? Nini hasa kiloongezeka?

Pole sana my dear......................................yaani alikuachia mwenyewe................sasa anataka kukunyang'anya.......................................wakati umeshakolea hivyo?......................................usikubali kamwe!......................................

Au pengine ulimpora toka kwa mwenye mali?......................na labda huyo mliyeporana(mwanaume)...ndiye anayebembeleza huko ulikopora ili apewe second chance je?............baada ya kugundua ...............hakuna kipya chini ya jua..............

kisha unapogundua anakupa stori za uongo............ooh ananibembeleza mwenyewe...........ooh mi sitaki hata kumuona.........mara hivi mara vile...............

Kazi kwako my dear................mi nashauri tafuta ukweli.....................usiishie kuimba taarabu.
 
Pole sana my dear......................................yaani alikuachia mwenyewe................sasa anataka kukunyang'anya.......................................wakati umeshakolea hivyo?......................................usikubali kamwe!......................................Au pengine ulimpora toka kwa mwenye mali?......................na labda huyo mliyeporana(mwanaume)...ndiye anayebembeleza huko ulikopora ili apewe second chance je?............baada ya kugundua ...............hakuna kipya chini ya jua..............kisha unapogundua anakupa stori za uongo............ooh ananibembeleza mwenyewe...........ooh mi sitaki hata kumuona.........mara hivi mara vile...............Kazi kwako my dear................mi nashauri tafuta ukweli.....................usiishie kuimba taarabu.
Loh MUNGU apitishie mbli haijanitokea bado but thanx for advice will keep it for the future use mamito
 
Hahaaaaaaaa MJI bwana huwa tunatapika wakati tumeshiba,njaa ikirudi tunakumbuka tena wapi tulipopata mlo uliotushibisha.

Huwezi jua thamani ya kitu mpaka umekipoteza darling!

Chauro yaani hapa ndipo mie MwanajamiiOne ninaposhindwa kuelewa, sijui ni huu mkichwa wangu mgumu?! yaani tena wengine tunatapika vibaya hadharani, kila mpitanjia anayashuhudia matapishi yetu yana rangi gani na harufu gani. Na kisha kuapa kwa miungu yote juu na chini kutorudia tena kula chakula kile halafu..................ukiona mwingine kaichukua sahani unamahanika!!

Hivi hakunaga formula ya kufanya analysis ya nguvu kujua prons na cons za kuamua kutapika kabla ya kutapika??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
sio wote wanaweza kusamehe.....
natamani ningekuwa na uwezo wa kusamehe kirahisi rahisi kama wengine......

but i am like the italian mob boss
never forget a slight....
 
Mwanajamii 1,
Duh una kipaji.............hapa lazima uwe mkali wa Taarabu tu,sikujua.

Maybe he's changed,maybe not.You've gotta really watch out.If its true action speaks louder than words,then u should watch out for the sincerity of his actions.Time would tell whether his intentions are genuine,so don't have your hopes high.Besides you shouldn't give the impression that you are like some fallow land that he can leave and come back to at will

Most guys believe in one silly law termed 'Uroho wa Fisi's law' which says and i quote "once there,always there". hope you know what the there stands for. Guys sorry for leaking the law

Hahahahahaaaaaaaaa Ben bwana, aksante sana kwa kutupa siri ....okay so Once there, always there?!! owkeyy! Lakini hii ya kuyalilia matapishi ambayo mwenye njaa ya kweli kayaona yanamfaa haiko kwa wanaume tu! Au wanawake huwa hawalilii matapishi tena??

Afu Ben huu si utunzi wangu mydia, usinipe sifa nsizostahili. Huu wimbo ni wa Jahaz kama sikosei.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom