Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 295
- 575
- Thread starter
- #41
Umeanza vizuri sanaaa ila umemaliza vibaya sana,shubaamit mmoja wewe...Sio big deal Mama kutuma message kama hiyo.
Mama mtoto ametamani kuzawadiwa kitu ili aone anathaminiwa kwa kazi nzuri ya ulezi hapo nyumbani na kutunza nyumba sio kazi ndogo.
Kumbukeni akina Mama ndo huwa tunashinda na watoto muda mrefu nyumbani na tunajitahidi kubalance na kazi zingine.
Sasa basi, cha ajabu ni huyo rafiki yako shubaamit zake kukufowadia meseji aliyotumiwa na mke wake badala ya kusolve issues na wewe shubamit zako pia kwa kushindwa kumshauri kwamba ya ndoa yake abaki nayo mbona hayo madogo tu. Kenge nyie wawili.