Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 295
- 575
Huu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana, kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni, (aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake), dogo kweli amepasua paper vizuri sana, baba Yale akatekeleza ahadi yake kwa mtoto.
Baada ya baba kuondoka, mama ameanza kumtumia texts baba mtoto kwamba anamjali mtoto tu, Wala hamjali mama yake (akimaanisha kwanini amemnunulia zawadi mtoto pekee na yeye hajapata zawadi)
Hii imenifanya nifikirie sana, ina maana mama mtoto anamuonea wivu mwanaye?
Hii inasabababishwa na nini?