mabala family
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 221
- 246
Asante mkuu, ujumbe utamfikiaKumbuka hii ilikuwa ahadi ya mtoto akifanya vizuri shule, mtoto amekomaa mpaka amefikia lengo la kufanya vizuri na ili kumuonyesha kwamba baba hadanganyi akamnunulia zawadi yake, sasa mama anaioneaje wivu zawadi ya namna hiyo?
Pili Kama mama anadai zawadi kwa kulea familia (kupika, kufua na kuangalia watoto wao) baba anayevuja jasho kuhakikisha kila kitu kipo sawa hapo home atapewa zawadi na nani?
Halafu watoto wakikua, wa kwanza kufaidika ni mama,na slogan ya "nani kama mama" inashika kasi kweli kweli,kama baba haukujiwekeza basi utakufa mapema sana,maana kila ulichofanya inakuwa ni wajibu wako,lakini malezi ya mama hayatazamwi kama wajibu Bali ni hisani isiyomfanowe!