Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,806
- 59,285
sina uwezo wa kukununulia ticket mtu nisiyekujua,halafu mie sijitambi.
Hujitambi ila unaringishia sio?
sina uwezo wa kukununulia ticket mtu nisiyekujua,halafu mie sijitambi.
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:
Kwetu tunatumia fisi
Ukiona miguu yangu ni kama kotama
Kwa ajili ya kujishikiza kwenye fisi asinidondoshe
Huwa wana speed
Afu maskio ndo mskano
Unajua kuna wengine baadhi ya mambo kwao ndo mafanikio makubwa kuliko kitu chochote...ni adventure zao na watu wa hivyo utakuta kweli kapanda labda mara 1 tu.Mbu shangaa jamaa hapo anawashangaa waiopanda ndege
Kwani kupanda ndege ni jambo la kuja kuongelea kwa watu
Eti nae katoa seridi du!ngoja niwai kwenye bani tumbaku yangu isikose beiWewe lazima ni Mpemba
Mh kaazi kweli kweli,mkuu kwenye wengi kuna mengi hizi ndo changamoto.What a stupid question !!!
Duu!! I thought we ni mtoto kumbe kubwa jinga... Kabila???miaka 35 wewe je?
Nimeshagundua humu ndani kuna watu kibao hawajahi panda ndege wakiongozwa na Kongosho!
Hata vile vindege vya costal??..lol
Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:
hahahahaha! We una mazito kabisa. Umeanza mambo yako.
No value added!Mamboz zenu waungwana,natumai hamjambo na mnajiandaa na mishemishe za mitoko ya Ijumaa.
Binafsi huwa najiuliza: Hivi ni kwanini mtu mpaka anakufa au anakuwa mkubwa wa miaka 69 lakini bado hajawahi kupanda ndege? :A S embarassed:
Kwani ni lazima mtu apande ndege ?
Soulmate hata mimi nashangaa.....sijawahi na sifikirii but maisha yangu yako poa tu. Huyu mtoa mada itabidi nimwendee PM nijue kulikoni mwe! pengine kuna nnachomiss
...bwaaaahhahahahahah!....nipande ndege ili iweje bana?